Mkisikia ushoga upo basi jamii underground wanayaona na kuyafunika kuna Tetesi zisizo na mashaka za miaka mingi, bodaboda na bajaji na wanajamii ya SUA wanajua hilo na wanashuhudia ugomvi wa mashoga ama wanaume kwenye makazi ya huyo mzungu ambae inasemekana yupo kwenye mradi wa panya na wanaomfahamu wanasema yupo miaka mingi na anayofanya yanaonekana peupe na hajifichi.
Jamii na mamlaka za SUA zipo na zinaona, yawezekana huyo mzungu ana mchango mkubwa kwenye huo mradi wa panya kiasi kwamba mamlaka na jamii ya SUA wameamua kufunika kombe mwanaharamu apite.
Ninapoandika habari hii nimepata taarifa kutoka vyanzo vya watu ambao wako kwenye kada mbalimbali pale SUA campus kuu Morogoro, Bodaboda, waalimu, baadhi ya wakazi wa mtaa wa kilimo, dereva bajaji, wakazi wa kididimo.