tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Wakuu!
Kama mumemsikiliza kwa makini Askofu Gwajima kwenye clipi ni kama anajaribu kuwaunganisha wananchi wote wanaothiriwa na kuumizwa na huu mfumo tekaji unaoendelea kuvujisha damu za watanzania.
Ukimsikiliza kwa mazingatio utaona anawaleta pamoja watu walio upande wa Polepole, watu wanao mkubali Mpina, wafuasi wa CHADEMA na wanaomkubali Lissu na Heche, waumini wake mwenyewe ambao amesema wako jumla ipatayo milioni tatu hivi kisha linatengenezeka tabaka la watu wenye maumivu sawa kutoka vyanzo tofauti na watu kutoka sehemu tofauti wanaoathiriwa na adui mmoja alafu waungane kutengeneza nguvu mmoja kumuondoa mtesi wao ambae ni mmoja kwa wote japo kila mtu na aina yake ya mateso
Soma pia: Askofu Gwajima: Mimi nimedhamiria kusimama na wananchi, kukataa utekaji, uonevu wala ufisadi