tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Just a mere loser. Yeye mwenyewe aliingia bungeni kwa mfumo huo huo kandamizi. Ila hakuukemea kwa vile Magufuli ndiye alikuwa madarakani. Sasa anajifanya mtetezi. Kama na mwaka huu 2025 angeachwa asimame Kawe kwa tiketi ya CCM naamini Gwajima asingesema haya anayoyasema.Wakuu!
Kama mumemsikiliza kwa makini Askofu Gwajima kwenye clipi ni kama anajaribu kuwaunganisha wananchi wote wanaothiriwa na kuumizwa na huu mfumo tekaji unaoendelea kuvujisha damu za watanzania.
Ukimsikiliza kwa mazingatio utaona anawaleta pamoja watu walio upande wa Polepole, watu wanao mkubali Mpina, wafuasi wa CHADEMA na wanaomkubali Lissu na Heche, waumini wake mwenyewe ambao amesema wako jumla ipatayo milioni tatu hivi kisha linatengenezeka tabaka la watu wenye maumivu sawa kutoka vyanzo tofauti na watu kutoka sehemu tofauti wanaoathiriwa na adui mmoja alafu waungane kutengeneza nguvu mmoja kumuondoa mtesi wao ambae ni mmoja kwa wote japo kila mtu na aina yake ya mateso
Soma pia: Askofu Gwajima: Mimi nimedhamiria kusimama na wananchi, kukataa utekaji, uonevu wala ufisadi
View attachment 3494463
Just a mere loser. Yeye mwenyewe aliingia bungeni kwa mfumo huo huo kandamizi. Ila hakuukemea kwa vile Magufuli ndiye alikuwa madarakani. Sasa anajifanya mtetezi. Kama na mwaka huu 2025 angeachwa asimame Kawe kwa tiketi ya CCM naamini Gwajima asingesema haya anayoyasema.
Kwangu huyu anabakia ni TAPELI tu
Alipewa ubunge na Magufuli, na hakuwahi kumsema Magufuli mwanzilishi wa utekaji na uuaji. Halafu niko Kawe hakuna lolote alilofanya kama mbunge. Usikubali kutumika kupitisha agenda za tapeliWakuu!
Kama mumemsikiliza kwa makini Askofu Gwajima kwenye clipi ni kama anajaribu kuwaunganisha wananchi wote wanaothiriwa na kuumizwa na huu mfumo tekaji unaoendelea kuvujisha damu za watanzania.
Ukimsikiliza kwa mazingatio utaona anawaleta pamoja watu walio upande wa Polepole, watu wanao mkubali Mpina, wafuasi wa CHADEMA na wanaomkubali Lissu na Heche, waumini wake mwenyewe ambao amesema wako jumla ipatayo milioni tatu hivi kisha linatengenezeka tabaka la watu wenye maumivu sawa kutoka vyanzo tofauti na watu kutoka sehemu tofauti wanaoathiriwa na adui mmoja alafu waungane kutengeneza nguvu mmoja kumuondoa mtesi wao ambae ni mmoja kwa wote japo kila mtu na aina yake ya mateso
Soma pia: Askofu Gwajima: Mimi nimedhamiria kusimama na wananchi, kukataa utekaji, uonevu wala ufisadi
Just a mere loser. Yeye mwenyewe aliingia bungeni kwa mfumo huo huo kandamizi. Ila hakuukemea kwa vile Magufuli ndiye alikuwa madarakani. Sasa anajifanya mtetezi. Kama na mwaka huu 2025 angeachwa asimame Kawe kwa tiketi ya CCM naamini Gwajima asingesema haya anayoyasema.
Kwangu huyu anabakia ni TAPELI tu
Alipewa ubunge na Magufuli, na hakuwahi kumsema Magufuli mwanzilishi wa utekaji na uuaji. Halafu niko Kawe hakuna lolote alilofanya kama mbunge. Usikubali kutumika kupitisha agenda za tapeli
Wakuu!

Kwangu huyu anabakia ni
Ni kwel kabisa mkuu, huyo n tapeli tu 🤔Just a mere loser. Yeye mwenyewe aliingia bungeni kwa mfumo huo huo kandamizi. Ila hakuukemea kwa vile Magufuli ndiye alikuwa madarakani. Sasa anajifanya mtetezi. Kama na mwaka huu 2025 angeachwa asimame Kawe kwa tiketi ya CCM naamini Gwajima asingesema haya anayoyasema.
Kwangu huyu anabakia ni TAPELI tu
Wewe hukujenga hoja, umemsakama Gwajima badala ya kujibu hoja yake bila kujali madhaifu yake binafsi.Ni rahisi kutukana kuliko kujenga hoja, na hiyo ndiyo typical attribute ya watu wenye low IQ. Pole Joselela kwa ulemavu wa akili
Hivi Mwangosi na Ulimboka walipata madhila awamu ya nani? Jibu awamu ya JMK....mwanzilishi wa utekaji na uuaji....
Najaribu kuwaza namna tunavyonufaika na huu mfumo kandamizi unaofanya maisha yako na yamwengine kuwa mikononi mwa wengine .Just a mere loser. Yeye mwenyewe aliingia bungeni kwa mfumo huo huo kandamizi. Ila hakuukemea kwa vile Magufuli ndiye alikuwa madarakani. Sasa anajifanya mtetezi. Kama na mwaka huu 2025 angeachwa asimame Kawe kwa tiketi ya CCM naamini Gwajima asingesema haya anayoyasema.
Kwangu huyu anabakia ni TAPELI tu
Hahaha huyu mjinga anamtetea nani labda wewe mlokole mwenzako.Wakuu!
Kama mumemsikiliza kwa makini Askofu Gwajima kwenye clipi ni kama anajaribu kuwaunganisha wananchi wote wanaothiriwa na kuumizwa na huu mfumo tekaji unaoendelea kuvujisha damu za watanzania.
Ukimsikiliza kwa mazingatio utaona anawaleta pamoja watu walio upande wa Polepole, watu wanao mkubali Mpina, wafuasi wa CHADEMA na wanaomkubali Lissu na Heche, waumini wake mwenyewe ambao amesema wako jumla ipatayo milioni tatu hivi kisha linatengenezeka tabaka la watu wenye maumivu sawa kutoka vyanzo tofauti na watu kutoka sehemu tofauti wanaoathiriwa na adui mmoja alafu waungane kutengeneza nguvu mmoja kumuondoa mtesi wao ambae ni mmoja kwa wote japo kila mtu na aina yake ya mateso
Soma pia: Askofu Gwajima: Mimi nimedhamiria kusimama na wananchi, kukataa utekaji, uonevu wala ufisadi
Alipewa ubunge na Magufuli, na hakuwahi kumsema Magufuli mwanzilishi wa utekaji na uuaji. Halafu niko Kawe hakuna lolote alilofanya kama mbunge. Usikubali kutumika kupitisha agenda za tapeli
Gwajima ana hoja gani? Huyu analia mrija umekatwa!! Mbona asikemee utekaji wakati wa Magufuli!!??Wewe hukujenga hoja, umemsakama Gwajima badala ya kujibu hoja yake bila kujali madhaifu yake binafsi.
Aliyekutukana pia amekosea.
Wote wawili ni level moja.
Tusimjadili mtoa hoja, tushindanishe hoja kwa hoja.