Goma la nani kaka hili nilidownload ili nianze nalo kama futariSalamu baba, na mama
Nazituma kwa furaha mfurahi bila manung'uniko moyoni
Wazazi nina furaha sana kuwakumbuka nyie wala msie na shaka juu yangu mie
Nisalimieni wa kianga wote,
Kwenu Poor Brain na secretarybird
Ujumbe mzuri magoma ya kale ni faya 🔥Salamu baba, na mama
Nazituma kwa furaha mfurahi bila manung'uniko moyoni
Wazazi nina furaha sana kuwakumbuka nyie wala msie na shaka juu yangu mie
Nisalimieni wa kianga wote,
Kwenu Poor Brain na secretarybird
Ujumbe mzuri sana
Mapokeo yanatufanya tukasahau uasili wetu kabisa, hata Marimba yamepotea kabisa hakuna kijana wa sasa anayejua Ala ya mziki zaidi ya kutegemea akili mnemba, hata vikundi vya ngoma za asili vimekufa, kwaya, sarakasi, kucheza na Nyoka jukwaani vyote tunaona ushamba.Namaste everybody
Heshima zenu wakuu.
Muziki wa kitambo miaka hio ya wahenga kabla sisi Gen Z hatuzaliwa ulikuwa mzuri sana ukilinganisha na ya sasa.
Vyombo vya muziki vinasikika kwa uzuri, kama ni saxophone unaisikia, guitar marimba zote unazisikia vizuri. Nyimbo zilikuwa ndefu, unakuta nyimbo dakika 10, mpangilio mzuri wa mashairi.
Personally naukubali.
Sikuhizi HATA stage TU mic na vyombo vya muziki haviwi na sauti nzuri yenye kusikika vyema.Namaste everybody
Heshima zenu wakuu.
Muziki wa kitambo miaka hio ya wahenga kabla sisi Gen Z hatuzaliwa ulikuwa mzuri sana ukilinganisha na ya sasa.
Vyombo vya muziki vinasikika kwa uzuri, kama ni saxophone unaisikia, guitar marimba zote unazisikia vizuri. Nyimbo zilikuwa ndefu, unakuta nyimbo dakika 10, mpangilio mzuri wa mashairi.
Personally naukubali.
Oya hebu nitumie 'Amigo' ya Les wanyika. Mtunzi wake ni John mngereza.Salamu baba, na mama
Nazituma kwa furaha mfurahi bila manung'uniko moyoni
Wazazi nina furaha sana kuwakumbuka nyie wala msie na shaka juu yangu mie
Nisalimieni wa kianga wote,
Kwenu Poor Brain na secretarybird
Fact kabisaMapokeo yanatufanya tukasahau uasili wetu kabisa, hata Marimba yamepotea kabisa hakuna kijana wa sasa anayejua Ala ya mziki zaidi ya kutegemea akili mnemba, hata vikundi vya ngoma za asili vimekufa, kwaya, sarakasi, kucheza na Nyoka jukwaani vyote tunaona ushamba.
Huu kapiga nani mkuu niudakeMuziki asili yake wapi eeeee
Muziki ni wa nani eeeee
Muziki hakuna mwenyewe
Muziki ni mwito
Muziki ni fundisho
Muziki maombolezo kilio
Usinione nikiimba
Ukadhani ninayo furaha
Kumbe ninayo huzuni moyoni