Kuna namna tu muziki wa kitambo ni mzuri, kuliko wa sasa

Kuna namna tu muziki wa kitambo ni mzuri, kuliko wa sasa

Huwezi kulinganisha muziki wa zaman na hizi takataka za hao GenZ
Muziki wa sasa ni makelele tu mm huwa ata sisikilizi takataka hizo ukinikuta nimetulia playlist yangu
Madilu system
Mbilia mbeli
Les wa nyika
Msondo ngoma
Daudi kabaka
Samba mapangara
Nk
 
😁😁😁 Unafeli sana kama huujui huu huyu ni Ramadhani mtoro a.k.a Remmy Ongala inaitwa muziki asili yake wapi.
Sasa mkuu mi Gen Z nimekulia era ya nenda kwambie anha jinsi navyompenda mii anha na kama mapenzi bado basi ntayaongeza mi😁 ila niliposikia ngoma za wahenga asee nilizikubali 2x kuliko hizi za sasa
 
Sasa mkuu mi Gen Z nimekulia era ya nenda kwambie anha jinsi navyompenda mii anha na kama mapenzi bado basi ntayaongeza mi😁 ila niliposikia ngoma za wahenga asee nilizikubali 2x kuliko hizi za sasa
Tafuta hiyo Chap chap kibao murua hicho kiburudishe akili Yako jionii hii
 
Back
Top Bottom