Kuna namna tu muziki wa kitambo ni mzuri, kuliko wa sasa

Upo sahihi.

Miziki ya siku hizi haieleweki.
 
Sio kweli mkuu pitia hii thread hapa chini nimeeleza kwa kirefu 👇🏻

 
yaani hizi nyimbo zinazotungwa kwa beat la kompyuta mwanzo mwisho ulinganishe na vyombo walivyopiga zamani, nyimbo zina dakika 3 viitikio kwa sana kuliko kuimba.
 
"African Typic Collection"-Song by Sam Fan Thomas ‧ 1984


View: https://youtu.be/b3EJocMXXlQ?list=RDb3EJocMXXlQ
 
UB40 ft Chrissie Hynde - I Got You Babe
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/reel/836360334167355
 
Mziki wa zamani ulikuwa taste, hakuna uhuni sana, nyimbo tamu, hata hawa akina Diamond/Ali Kiba ngoma zao za kwanza zilikuwa tamu, mfano nyimbo za kwanza za Diamond zilikuwa bomba ila nyimbo za sasa nyingi ni ushenzi ushenzi tu.
 

Air Supply - Lonely Is The Night (Official Video)_1986​


View: https://youtu.be/hnBDT14DuNg?list=RDhnBDT14DuNg
 
1990s kuja hapo 2010 wasanii world wide walikuwa serious kweli na utunzi wa nyimbo zao.

Biashara ya Clubs iliharibu utunzi wa nyimbo watu wakaamua kuacha club bangers kwajili ya Clubs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…