BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
The day before ya pasaka nilienda mahali kupunguza stress kwa Bahati mbaya hata Ile pesa ndogo niliyokuwa nayo nikaimaliza ishu na survive vipi hichi kipindi cha holiday mpaka pale nitakapopata pesa.
Kuna manzi kama nyumba ya tatu nipo naye kwenye mahusiano anakaa kwao kwa vile ni sikukuu na yeye ni mkiristo basi mchana aniletee pilau ili bajeti ya kununua chakula siku hiyo isiwepo mpaka saa kumi yule dada hajaleta chakula afu hakuna taarifa ya kueleweka ikabidi nijiongeze nipike ugali na mayai chap baadae namuuliza vipi anadai kwao palikuwa na wageni wengi asingeweza kutoka na chakula kuniletea.
MI nakumbuka Ex wangu zamani ukimwambia una njaa chap anakuletea hotpot limejaa msosi penzi anatoa kwa wakati ukikwama anakusapoti ilikuwa inanogesha upendo hata mimi siku nikibahatika kuokota vibunda namkumbuka mtoto wa watu penzi fulani lilikuwai two way traffic linatoka na kurudi