Kuna namna wanawake supportive kwenye mahusiano wamekuwa nadra kupatikana

Kuna namna wanawake supportive kwenye mahusiano wamekuwa nadra kupatikana

Mwanamke kuwa mtoaji ni hulka anaweza akawa navyo asikuzingatie Kwa lolote pia anaweza kuwa Hana ila hicho kidogo alichobarikiwa akaonesha moyo wa kukusapoti. Nina ushahidi kwa pande zote.
 
😹😹😹 We nae acha uroho..!!
Bila shaka wewe mpare?
Yani mwanamke hujamuoa tayari unapigia ratiba zako za msosi kwao?

Na bila aibu unakumbuka ex wako alivyokuwa anakuhudumia khaaaa..!!
Kwani mwanamke kumuudumia mwanaume ni tatizo?
 
Back
Top Bottom