Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
We naye hebu kuwa serious basi, ukiletewa hiyo pipi ya 50 ndio utaona uzito wa penzi?Huyo mapenzi hata pipi ya hamsini inamshinda mkuu? Basi Hana faida yoyote, maandiko yameanandika heri mkono wa kutoa sio wa kupokea tu Kila siku, usipende kuwa wakupewa tu toa hata kidogo, kama Leo kidogo huwezi toa kesho hata ukipewa kikubwa hutoweza,
Naomba huo mstari wa biblia..
Mkiletewa boxer na soksi si hamzitaki sikuhizi, kumbe bado kuna kundi linalilia boxer! Ila coco melon mna vituko, eti ice cream 😅mwanamke ambe hawez mpa mpenziwe hata zawadi ya boxer tu ye ni saloon na cream basi huyo ni mbinafsi ana weza hata kukuua kabisa mana hana mapenzi nawewe. Kuna kitoto cha efu mbili kikimpa mpenziwe ice cream, nilifurahi sana, ndo mapenzi sio mtu Yani ye ni sina mama sina
Naona penzi lako bila bidhaa ndogondogo halisogei kabisa! Pole wee🫢