Kuna namna wanawake supportive kwenye mahusiano wamekuwa nadra kupatikana

Kuna namna wanawake supportive kwenye mahusiano wamekuwa nadra kupatikana

Ukilinganisha mapenzi kutumia case study za namna hii, hata mpenzi wako utamuona hakufai kwa namna yoyote ile! Mambo usiyoyajua kiundani yaache kabisa..
Kabisa mm nilijifunza kwamba
Men should not compare women in relationship.
Kama akiwa analinganisha atakuwa hatulii
 
Hiki ndio nachoamini pia, tofauti yake sijawahi ona hoja ya maana zaidi ya kulinda utamaduni wa kinyonyaji
Kabisa madogo wana unga mkono kutokana na experience za maisha yao na sio uhalisia wa mambo , sisi wachaga mwanamke ana fundishwa kuchakarika kupambania maisha pamoja na mume wake tangu kale , hakuna mwanamke wa kichaga atakubali umfungie tu ndani kama mbwa ili umuhudumie bila yeye kuchakarika na kuleta ugali mezani
 

Attachments

  • downloadfile-1.jpg
    downloadfile-1.jpg
    115.4 KB · Views: 18
Ukilinganisha mapenzi kutumia case study za namna hii, hata mpenzi wako utamuona hakufai kwa namna yoyote ile! Mambo usiyoyajua kiundani yaache kabisa..
Huyo mapenzi hata pipi ya hamsini inamshinda mkuu? Basi Hana faida yoyote, maandiko yameanandika heri mkono wa kutoa sio wa kupokea tu Kila siku, usipende kuwa wakupewa tu toa hata kidogo, kama Leo kidogo huwezi toa kesho hata ukipewa kikubwa hutoweza, mwanamke ambe hawez mpa mpenziwe hata zawadi ya boxer tu ye ni saloon na cream basi huyo ni mbinafsi ana weza hata kukuua kabisa mana hana mapenzi nawewe. Kuna kitoto cha efu mbili kikimpa mpenziwe ice cream, nilifurahi sana, ndo mapenzi sio mtu Yani ye ni sina mama sina
 
Back
Top Bottom