BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Mwanamke wa design hii hawez kuleta uji Ukiwa umelazwaNisikilizeni mwanaume wa ukweli halilii chakula cha ukweni.
Acha ulofa
Hivyo vitu vidogo ndio uleta ndoa😹😹😹 We nae acha uroho..!!
Bila shaka wewe mpare?
Yani mwanamke hujamuoa tayari unapigia ratiba zako za msosi kwao?
Na bila aibu unakumbuka ex wako alivyokuwa anakuhudumia khaaaa..!!
Sasa si urudiane tu na ex wako kama vipi uoe kabisa?The day before ya pasaka nilienda mahali kupunguza stress kwa Bahati mbaya hata Ile pesa ndogo niliyokuwa nayo nikaimaliza ishu na survive vipi hichi kipindi cha holiday mpaka pale nitakapopata pesa.
Kuna manzi kama nyumba ya tatu nipo naye kwenye mahusiano anakaa kwao kwa vile ni sikukuu na yeye ni mkiristo basi mchana aniletee pilau ili bajeti ya kununua chakula siku hiyo isiwepo mpaka saa kumi yule dada hajaleta chakula afu hakuna taarifa ya kueleweka ikabidi nijiongeze nipike ugali na mayai chap baadae namuuliza vipi anadai kwao palikuwa na wageni wengi asingeweza kutoka na chakula kuniletea.
MI nakumbuka Ex wangu zamani ukimwambia una njaa chap anakuletea hotpot limejaa msosi penzi anatoa kwa wakati ukikwama anakusapoti ilikuwa inanogesha upendo hata mimi siku nikibahatika kuokota vibunda namkumbuka mtoto wa watu penzi fulani lilikuwai two way traffic linatoka na kurudi
Mkuu, ulichangia chochote kwenye huo msosi wa familia ya huyo mpenzi wako?Mwanamke wa design hii hawez kuleta uji Ukiwa umelazwa
Hizi expectations ndio zina wazingua kwenye maisha, vipi wewe ulisha mpelekea huo uji?Mwanamke wa design hii hawez kuleta uji Ukiwa umelazwa
Na bado ukamwachaThe day before ya pasaka nilienda mahali kupunguza stress kwa Bahati mbaya hata Ile pesa ndogo niliyokuwa nayo nikaimaliza ishu na survive vipi hichi kipindi cha holiday mpaka pale nitakapopata pesa.
Kuna manzi kama nyumba ya tatu nipo naye kwenye mahusiano anakaa kwao kwa vile ni sikukuu na yeye ni mkiristo basi mchana aniletee pilau ili bajeti ya kununua chakula siku hiyo isiwepo mpaka saa kumi yule dada hajaleta chakula afu hakuna taarifa ya kueleweka ikabidi nijiongeze nipike ugali na mayai chap baadae namuuliza vipi anadai kwao palikuwa na wageni wengi asingeweza kutoka na chakula kuniletea.
MI nakumbuka Ex wangu zamani ukimwambia una njaa chap anakuletea hotpot limejaa msosi penzi anatoa kwa wakati ukikwama anakusapoti ilikuwa inanogesha upendo hata mimi siku nikibahatika kuokota vibunda namkumbuka mtoto wa watu penzi fulani lilikuwai two way traffic linatoka na kurudi
Katika mada yake sijaona sehemu hata aliyosema nimechangia kias fulan , ila analalamika hajaletewa msosi😹😹😹 We nae acha uroho..!!
Bila shaka wewe mpare?
Yani mwanamke hujamuoa tayari unapigia ratiba zako za msosi kwao?
Na bila aibu unakumbuka ex wako alivyokuwa anakuhudumia khaaaa..!!
Ukilinganisha mapenzi kutumia case study za namna hii, hata mpenzi wako utamuona hakufai kwa namna yoyote ile! Mambo usiyoyajua kiundani yaache kabisa..Gsm ni tajiri ila mkewe amemzawadia nyumba oyster bay tena ameonesha akisimamia kipindi injengwa, Ronaldo alipewa gari na demu wake, Kuna mapenzi ikiangalia tu unaona hapa🔥🔥🔥🔥🔥, Kuna hawa wetu eti hadi pipi ya hamsini inamshinda