Simba hapo hausiki, Simba akifungwa washabiki ama wapambane na kocha au viongozi waoMkuu ni kosa gani ambalo mwamuzi amelifanya ambalo moja kwa moja limeathiri yanga isipate matokeo? Nadhani vilabu vyetu vikubwa vya simba na yanga tujifunze kukubali matokeo mabaya tunapopata.
Hapana tumefungwa tuKila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya...
Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa...
Bado hamjasemaKila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya...
Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa....
We umeangalia ule mpira au unaleta hisia.Simba na Yanga mshazoea kubebwa na marefarii ikitokea refa kachezesha fair mkipigwa mnaanza kulialia.
Fact huo ndo ukweliMkuu ni kosa gani ambalo mwamuzi amelifanya ambalo moja kwa moja limeathiri yanga isipate matokeo? Nadhani vilabu vyetu vikubwa vya simba na yanga tujifunze kukubali matokeo mabaya tunapopata.
Usiombe yakukute
Usijitoe ufahamu, kila siku mnajisifu kwamba yanga hakuna mfungaji sasa mmekutana na timu yenye wafungaji mnaanza kulialia. Na bado hadi gamondi akimbie.Kila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya...
Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa...
Wananchi jiandaeni kisaikolojia.. kama mshindi wa Ngao ya jamii alivopatikana kimauza uza ndivo atakavopewa ubingwa na "Rais wa Maisha..."
Tupambane Tu club bingwa msimu huu "Rais wa Maisha" hataki tupate kitu...
Mtanielewa baadaye
Rais kafanyaje?Kila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya...
Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa...
Wananchi jiandaeni kisaikolojia.. kama mshindi wa Ngao ya jamii alivopatikana kimauza uza ndivo atakavopewa ubingwa na "Rais wa Maisha..."
Tupambane Tu club bingwa msimu huu "Rais wa Maisha" hataki tupate kitu...
Mtanielewa baadaye
Labda ukinambia kuhusu Muda uliopotezwa hata Mimi namshangaa Hance Mabena katoa wapi dakika 6 pekee. Mpaka kipa analalamika kurushiwa chupa ilikuwa dakika ya 87 yaani bado 3 nzima. Kwa hiyo mbali ya kujilaza na yeye kufanya marekebisho wakati wa foul kaongeza dakika 3 tu?Kila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya...