Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujue wewe uko vzr bro....mwanzo wa hii thread ulisema kabisa una mashaka na kikosiMimi ni shabiki wa Yanga. Ila kwenye mechi ya leo nitakuwa wa mwisho kumtupia lawama mwamuzi.
Kosa la kwanza lililosababisha leo kupoteza mchezo lilitokana na kikosi dhaifu cha mwalimu Garmond kwenye mechi ngumu kama hii ya leo. Binafsi sikuona sababu ya kuwaacha nje wachezaji wake wengi wa kikosi cha kwanza.
Kosa la pili ni la nahodha Bakary Mwamnyeto na golikipa Diarra kusababisha goli la kusawazisha kutokana na makosa yao ya kizembe!
Na katika hili ni lazima kocha aambiwe ukweli. Apunguze dharau kwa wapinzani wake. Kichapo cha leo ni kocha ndiyo kajitakia. Mwamuzi amejitahidi kwa nafasi yake. Na kama kulikuwepo na madhaifu, basi yalikuwa ni machache sana.
Yanga wanatakiwa wajipange upya. Na wapambane. Wakilewa sifa, ubingwa wa ligi kuu utaenda simba.
Na January wakubali tu kusajili mshambuliaji mwingine wa kueleweka. Hakukuwa na mantiki ya kumuuza Fiston Mayele, na kumsajili Hafiz Konkoni ambaye mpaka muda huu amekosa kabisa namba kwenye kikosi cha kwanza.
Hapo Sasa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kwani Utopolo kufungwa na Ihefu kumeanza jana...inabidi mzoe tu
Sasa kama Ihefu ndiyo walikuwa wanajiangusha angusha huyo aliyeitwa "Rais wa maisha" anahusikaje?We umeangalia ule mpira au unaleta hisia.
Ihefu wametumia hujuma za kuanguka anguka kama waarabu.
Ndio tumefungwa lkn ihefu ilianza kuleta siasa ilikuwa ni haki kwa wachezaji wa yanga kulalama.. muda mwingi umepotezwa kwa wachezaji kulala
Dunia imejaa maajabu jichunguze afya ya akili,viongozi wako wanakili wamefungwa sababu ya Refa haipoKila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya.
Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa.
Wananchi jiandaeni kisaikolojia.. kama mshindi wa Ngao ya jamii alivopatikana kimauza uza ndivo atakavopewa ubingwa na "Rais wa Maisha..."
Tupambane Tu club bingwa msimu huu "Rais wa Maisha" hataki tupate kitu.
Mtanielewa baadaye
Kwani ilitakiwa pale ilanfya atoe pasi au .... jamani kwa el-merrikh si tulikubaliana timu inaupiga mwingi sasa hivi imekuwaje tenaKila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya.
Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa.
Wananchi jiandaeni kisaikolojia.. kama mshindi wa Ngao ya jamii alivopatikana kimauza uza ndivo atakavopewa ubingwa na "Rais wa Maisha..."
Tupambane Tu club bingwa msimu huu "Rais wa Maisha" hataki tupate kitu.
Mtanielewa baadaye