Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
Hawa Ihefu kuna kitu wanafanya Kuifunga Yanga uwanjani kwao kwa msimu wa pili , kama hawafanyi juani basi wanafanya gizani! Haiwezekani Yanga tuifunge Al Merreikh ndani nje tufungwe na hawa wala magimbi!
Cha msingi ni Yanga kurudia kuangalia tena namna imecheza mechi zote Ihefu walizoshinda na kuona shida Iko wapi, vitimu vidogo kama hivi ni shida sana! Vinakamia mechi kubwa na utaona Ihefu itapigwa tatu bila na mtibwa au Dodoma Jiji!