Kuna namna Yanga inahujumiwa, ni ngumu kushinda ubingwa msimu huu

Yanga wamejifunza, kucheza na vitumu vya mfukoni hivyo, vinavyokula magimbi na maharagwe, vinaweza kukuumizia wachezaji wako unaotarajia mwezi huu huu au ujao wacheze kimataifa. wamejifunza kwa Inonga alivyocheza na coastal ambao hawana uchungu wowote kimataifa na hawategemei kwenda, walimuumiza beki yule bila kujali kwamba kwenda kuwakilisha kimataifa anaiwakilisha pia nchi yetu sisi weneywe. hivyo yanga wamestuka, ukicheza na hizo mburukutu jifanye mjinga wakija ruka wasije kukukwatua tukashindwa kwenda mbali. wacha wakufunge tu hata wakitaka ila msiwe na majeruhi kwasababu ya timu zisizoeleweka.
Daaaah
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Yule mshambuliaji wa Ihefu Kawabana sana Yanga.... Ihefu alikua na winning mentality kubwa na hakuishemu Yanga ila aliingia kucheza na timu anayoiweza, kama sio majaaliwa ya Muumba mtani Angelala 3
 
Mkikandwa mkubali, tatizo mkishinda hamsemi ila siku mkinyolewa mnalalamika hata pasipostahili kulalamika

Na hamjasema bado, mpaka mseme

Haiwezekani mtu akuweke msimu uliopita afu ujitutumue kulipa kisasi, ugonge mwamba afu mchiziboti anakuweka tena dah inauma sana
 
We umeangalia ule mpira au unaleta hisia..
Ihefu wametumia hujuma za kuanguka anguka kama waarabu..
Ndio tumefungwa lkn ihefu ilianza kuleta siasa ilikuwa ni haki kwa wachezaji wa yanga kulalama.. muda mwingi umepotezwa kwa wachezaji kulala
Sasa Ihefu kuanguka na kupoteza muda Karia na Waamuzi wameingiaje hadi walalamikiwe
 
Kila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya...
Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa...
Wananchi jiandaeni kisaikolojia.. kama mshindi wa Ngao ya jamii alivopatikana kimauza uza ndivo atakavopewa ubingwa na "Rais wa Maisha..."
Tupambane Tu club bingwa msimu huu "Rais wa Maisha" hataki tupate kitu...
Mtanielewa baadaye
Mimi ni shabiki wa Yanga. Ila kwenye mechi ya leo nitakuwa wa mwisho kumtupia lawama mwamuzi.

Kosa la kwanza lililosababisha leo kupoteza mchezo lilitokana na kikosi dhaifu cha mwalimu Garmond kwenye mechi ngumu kama hii ya leo. Binafsi sikuona sababu ya kuwaacha nje wachezaji wake wengi wa kikosi cha kwanza.

Kosa la pili ni la nahodha Bakary Mwamnyeto na golikipa Diarra kusababisha goli la kusawazisha kutokana na makosa yao ya kizembe!

Na katika hili ni lazima kocha aambiwe ukweli. Apunguze dharau kwa wapinzani wake. Kichapo cha leo ni kocha ndiyo kajitakia. Mwamuzi amejitahidi kwa nafasi yake. Na kama kulikuwepo na madhaifu, basi yalikuwa ni machache sana.

Yanga wanatakiwa wajipange upya. Na wapambane. Wakilewa sifa, ubingwa wa ligi kuu utaenda simba.

Na January wakubali tu kusajili mshambuliaji mwingine wa kueleweka. Hakukuwa na mantiki ya kumuuza Fiston Mayele, na kumsajili Hafiz Konkoni ambaye mpaka muda huu amekosa kabisa namba kwenye kikosi cha kwanza.
 
Kila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya...
Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa...
Wananchi jiandaeni kisaikolojia.. kama mshindi wa Ngao ya jamii alivopatikana kimauza uza ndivo atakavopewa ubingwa na "Rais wa Maisha..."
Tupambane Tu club bingwa msimu huu "Rais wa Maisha" hataki tupate kitu...
Mtanielewa baadaye
Wataumbuka tu hao wenye nia ovu.

Daima mbele nyuma mwiko..

Dr Matola PhD ukikaidi utapigwa2 zipompa redio Labani og
 
Mimi ni shabiki wa Yanga. Ila kwenye mechi ya leo nitakuwa wa mwisho kumtupia lawama mwamuzi.

Kosa la kwanza lililosababisha leo kupoteza mchezo lilitokana na kikosi dhaifu cha mwalimu Garmond kwenye mechi ngumu kama hii ya leo. Binafsi sikuona sababu ya kuwaacha nje wachezaji wake wengi wa kikosi cha kwanza.

Kosa la pili ni la nahodha Bakary Mwamnyeto na golikipa Diarra kusababisha goli la kusawazisha kutokana na makosa yao ya kizembe!

Na katika hili ni lazima kocha aambiwe ukweli. Apunguze dharau kwa wapinzani wake. Kichapo cha leo ni kocha ndiyo kajitakia. Mwamuzi amejitahidi kwa nafasi yake. Na kama kulikuwepo na madhaifu, basi yalikuwa ni machache sana.

Yanga wanatakiwa wajipange upya. Na wapambane. Wakilewa sifa, ubingwa wa ligi kuu utaenda simba.
Mkuu umeongea fact na ndo ukweli Kocha kaingia kwenye mfumo wa mashabiki ule wa 5 5 na kujiona kuwa yeye ni bingwa wa kuloteti kikosi hayo ndo matokeo mapeema kachafua gazeti
 
Kila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya...
Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa...
Wananchi jiandaeni kisaikolojia.. kama mshindi wa Ngao ya jamii alivopatikana kimauza uza ndivo atakavopewa ubingwa na "Rais wa Maisha..."
Tupambane Tu club bingwa msimu huu "Rais wa Maisha" hataki tupate kitu...
Mtanielewa baadaye
Poleni sana mashabiki kwa wasio na team maalum kama mimi tukutane mezani
 
We umeangalia ule mpira au unaleta hisia..
Ihefu wametumia hujuma za kuanguka anguka kama waarabu..
Ndio tumefungwa lkn ihefu ilianza kuleta siasa ilikuwa ni haki kwa wachezaji wa yanga kulalama.. muda mwingi umepotezwa kwa wachezaji kulala
Yanga saiv nitim yakimataifa ishatoka huko mashabik wajinga kama wew inabid uhamie kule kwamwenyekit wenu rage, mechi tumeshindwa wenyewe nandio mpira ukifungwa unakua mtumwa namuda unaona hautoshi
 
Mkuu ulipaswa useme hayo madhaifu ya uamuzi yaliyoicost team ili uzi ushibe. Tushafungwa hiyo imeisha let's focus on next game. Ni lazima uamini kuna kufungwa ukiamini we wa kushinda kila siku utakuta na pressure

Pia makosa ya waamuzi kama binadamu nayo yapo jana Azam kakataliwa goli ambalo ilikuwa dhahiri ni goal , mwamuzi msaidizi akasema offside
 
Kila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya...
Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa...
Wananchi jiandaeni kisaikolojia.. kama mshindi wa Ngao ya jamii alivopatikana kimauza uza ndivo atakavopewa ubingwa na "Rais wa Maisha..."
Tupambane Tu club bingwa msimu huu "Rais wa Maisha" hataki tupate kitu...
Mtanielewa baadaye
Malalamiko fc.
Mwaka huu mnaanza mapema kulalamika.
Yaani hamtaki kukubali kufungwa kimpira!!
Mkipoteza tu hujuma
 
We umeangalia ule mpira au unaleta hisia..
Ihefu wametumia hujuma za kuanguka anguka kama waarabu..
Ndio tumefungwa lkn ihefu ilianza kuleta siasa ilikuwa ni haki kwa wachezaji wa yanga kulalama.. muda mwingi umepotezwa kwa wachezaji kulala
Sasa mbona referii aliongeza dakika 6 na kuacha mpaka dakika 10 unataka je? Acha kulalamika kwa hoja dhaifu
 
We umeangalia ule mpira au unaleta hisia..
Ihefu wametumia hujuma za kuanguka anguka kama waarabu..
Ndio tumefungwa lkn ihefu ilianza kuleta siasa ilikuwa ni haki kwa wachezaji wa yanga kulalama.. muda mwingi umepotezwa kwa wachezaji kulala
Hahaaaaaa, bro mpira ni mchezo wa wazi. Wote tumeuona. Refa hakuna baya alilolofanya. Ebu vuta pumzi na relax kwanza.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
We umeangalia ule mpira au unaleta hisia..
Ihefu wametumia hujuma za kuanguka anguka kama waarabu..
Ndio tumefungwa lkn ihefu ilianza kuleta siasa ilikuwa ni haki kwa wachezaji wa yanga kulalama.. muda mwingi umepotezwa kwa wachezaji kulala
Hizo ni mbinu za kawaida kwenye mchezo wa soka.
Acha ulalamishi
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom