Kuna namna Yanga inahujumiwa, ni ngumu kushinda ubingwa msimu huu

Kila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya...
Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa...
Wananchi jiandaeni kisaikolojia.. kama mshindi wa Ngao ya jamii alivopatikana kimauza uza ndivo atakavopewa ubingwa na "Rais wa Maisha..."
Tupambane Tu club bingwa msimu huu "Rais wa Maisha" hataki tupate kitu...
Mtanielewa baadaye
Bado hamjasema
 
We umeangalia ule mpira au unaleta hisia..
Ihefu wametumia hujuma za kuanguka anguka kama waarabu..
Ndio tumefungwa lkn ihefu ilianza kuleta siasa ilikuwa ni haki kwa wachezaji wa yanga kulalama.. muda mwingi umepotezwa kwa wachezaji kulala
Nanyi mkiona kulala ndo kupata ushindi laleni basi mshinde.
 
Kila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya...
Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa...
Wananchi jiandaeni kisaikolojia.. kama mshindi wa Ngao ya jamii alivopatikana kimauza uza ndivo atakavopewa ubingwa na "Rais wa Maisha..."
Tupambane Tu club bingwa msimu huu "Rais wa Maisha" hataki tupate kitu...
Mtanielewa baadaye
Kunywa soda baridi upunguze stress
 
Ihefu wameshinda na ndio radha ya mpira kidoooogo unaweza kupeleka lawama kwa walter tech director alipaswa kumwambia mwalimu ugumu wa Ile team na squad selection
Ila ndio mpira
 
Kila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya...
Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa...
Wananchi jiandaeni kisaikolojia.. kama mshindi wa Ngao ya jamii alivopatikana kimauza uza ndivo atakavopewa ubingwa na "Rais wa Maisha..."
Tupambane Tu club bingwa msimu huu "Rais wa Maisha" hataki tupate kitu...
Mtanielewa baadaye
Tushakubaliana ni mwendo wa goli tano tano tu
 
Labda ukinambia kuhusu Muda uliopotezwa hata Mimi namshangaa Hance Mabena katoa wapi dakika 6 pekee. Mpaka kipa analalamika kurushiwa chupa ilikuwa dakika ya 87 yaani bado 3 nzima. Kwa hiyo mbali ya kujilaza na yeye kufanya marekebisho wakati wa foul kaongeza dakika 3 tu?
Mpaka mseme yote
Dunia haina huruma aisee nyie ndo wakulalamika leo hiii daaaah.
Sa mashabiki wenu wanarusha machupa makusudi kumdhuru mchezaji sa mlitaka refa aongeze dk 10 ili muwavunje mbavu wachezaji wa Ihefu?
 
Mpira niliangalia kulikuwa hakuna sababu yoyote ya mechi ya Leo yanga kufungwa , tatizo la wachezaji wetu ustaa Ukizidi wanabweteka, angalia goli la kwanza lilipatikanaje? Faulo isiyokuwa na sababu yoyote kulikuwa na haja gani mwamnyeto na diara kufanya vile walivyofanya Mpaka faulo ikapatikana? Na bado diarra ana udhaifu mkubwa wa mipira ya juu tangu alivyofungwa na vipers hajaweza kujirekebisha .
Kibwana hakustahili kuwepo kabisa
Haiwezekani timu ifanye makosa utegemee refa, refa nae binadamu akizidiwa ndiyo imetoka
 
Kila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya...
Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa...
Wananchi jiandaeni kisaikolojia.. kama mshindi wa Ngao ya jamii alivopatikana kimauza uza ndivo atakavopewa ubingwa na "Rais wa Maisha..."
Tupambane Tu club bingwa msimu huu "Rais wa Maisha" hataki tupate kitu...
Mtanielewa baadaye
Kulalamika kumeanza.Yaani kuna goli la offside au ufupi wa kipa???
 
Labda ukinambia kuhusu Muda uliopotezwa hata Mimi namshangaa Hance Mabena katoa wapi dakika 6 pekee. Mpaka kipa analalamika kurushiwa chupa ilikuwa dakika ya 87 yaani bado 3 nzima. Kwa hiyo mbali ya kujilaza na yeye kufanya marekebisho wakati wa foul kaongeza dakika 3 tu?
Kateni rufaa.Goli zote 2 sio halali.
 
Hamna timu itakayoshinda mechi k
Zote mim YANGA Dam dam ,Acheni lawama maandazi
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Mpira niliangalia kulikuwa hakuna sababu yoyote ya mechi ya Leo yanga kufungwa , tatizo la wachezaji wetu ustaa Ukizidi wanabweteka, angalia goli la kwanza lilipatikanaje? Faulo isiyokuwa na sababu yoyote kulikuwa na haja gani mwamnyeto na diara kufanya vile walivyofanya Mpaka faulo ikapatikana? Na bado diarra ana udhaifu mkubwa wa mipira ya juu tangu alivyofungwa na vipers hajaweza kujirekebisha .
Kibwana hakustahili kuwepo kabisa
Haiwezekani timu ifanye makosa utegemee refa
Leo lawama
Bado hamjasema Umbwa nyie
Hahaha
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Kila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya...
Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa...
Wananchi jiandaeni kisaikolojia.. kama mshindi wa Ngao ya jamii alivopatikana kimauza uza ndivo atakavopewa ubingwa na "Rais wa Maisha..."
Tupambane Tu club bingwa msimu huu "Rais wa Maisha" hataki tupate kitu...
Mtanielewa baadaye
Yanga wamejifunza, kucheza na vitumu vya mfukoni hivyo, vinavyokula magimbi na maharagwe, vinaweza kukuumizia wachezaji wako unaotarajia mwezi huu huu au ujao wacheze kimataifa. wamejifunza kwa Inonga alivyocheza na coastal ambao hawana uchungu wowote kimataifa na hawategemei kwenda, walimuumiza beki yule bila kujali kwamba kwenda kuwakilisha kimataifa anaiwakilisha pia nchi yetu sisi weneywe. hivyo yanga wamestuka, ukicheza na hizo mburukutu jifanye mjinga wakija ruka wasije kukukwatua tukashindwa kwenda mbali. wacha wakufunge tu hata wakitaka ila msiwe na majeruhi kwasababu ya timu zisizoeleweka.
 
Back
Top Bottom