Mpira niliangalia kulikuwa hakuna sababu yoyote ya mechi ya Leo yanga kufungwa , tatizo la wachezaji wetu ustaa Ukizidi wanabweteka, angalia goli la kwanza lilipatikanaje? Faulo isiyokuwa na sababu yoyote kulikuwa na haja gani mwamnyeto na diara kufanya vile walivyofanya Mpaka faulo ikapatikana? Na bado diarra ana udhaifu mkubwa wa mipira ya juu tangu alivyofungwa na vipers hajaweza kujirekebisha .
Kibwana hakustahili kuwepo kabisa
Haiwezekani timu ifanye makosa utegemee refa, refa nae binadamu akizidiwa ndiyo imetoka