othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Mwamnyeto akapige nyeto tu[emoji34]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DaaaahYanga wamejifunza, kucheza na vitumu vya mfukoni hivyo, vinavyokula magimbi na maharagwe, vinaweza kukuumizia wachezaji wako unaotarajia mwezi huu huu au ujao wacheze kimataifa. wamejifunza kwa Inonga alivyocheza na coastal ambao hawana uchungu wowote kimataifa na hawategemei kwenda, walimuumiza beki yule bila kujali kwamba kwenda kuwakilisha kimataifa anaiwakilisha pia nchi yetu sisi weneywe. hivyo yanga wamestuka, ukicheza na hizo mburukutu jifanye mjinga wakija ruka wasije kukukwatua tukashindwa kwenda mbali. wacha wakufunge tu hata wakitaka ila msiwe na majeruhi kwasababu ya timu zisizoeleweka.
Sasa Ihefu kuanguka na kupoteza muda Karia na Waamuzi wameingiaje hadi walalamikiweWe umeangalia ule mpira au unaleta hisia..
Ihefu wametumia hujuma za kuanguka anguka kama waarabu..
Ndio tumefungwa lkn ihefu ilianza kuleta siasa ilikuwa ni haki kwa wachezaji wa yanga kulalama.. muda mwingi umepotezwa kwa wachezaji kulala
Hujasema bado mkuu kwambaaa!!!Marefa wahuni
Mimi ni shabiki wa Yanga. Ila kwenye mechi ya leo nitakuwa wa mwisho kumtupia lawama mwamuzi.Kila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya...
Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa...
Wananchi jiandaeni kisaikolojia.. kama mshindi wa Ngao ya jamii alivopatikana kimauza uza ndivo atakavopewa ubingwa na "Rais wa Maisha..."
Tupambane Tu club bingwa msimu huu "Rais wa Maisha" hataki tupate kitu...
Mtanielewa baadaye
Wataumbuka tu hao wenye nia ovu.Kila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya...
Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa...
Wananchi jiandaeni kisaikolojia.. kama mshindi wa Ngao ya jamii alivopatikana kimauza uza ndivo atakavopewa ubingwa na "Rais wa Maisha..."
Tupambane Tu club bingwa msimu huu "Rais wa Maisha" hataki tupate kitu...
Mtanielewa baadaye
Mkuu umeongea fact na ndo ukweli Kocha kaingia kwenye mfumo wa mashabiki ule wa 5 5 na kujiona kuwa yeye ni bingwa wa kuloteti kikosi hayo ndo matokeo mapeema kachafua gazetiMimi ni shabiki wa Yanga. Ila kwenye mechi ya leo nitakuwa wa mwisho kumtupia lawama mwamuzi.
Kosa la kwanza lililosababisha leo kupoteza mchezo lilitokana na kikosi dhaifu cha mwalimu Garmond kwenye mechi ngumu kama hii ya leo. Binafsi sikuona sababu ya kuwaacha nje wachezaji wake wengi wa kikosi cha kwanza.
Kosa la pili ni la nahodha Bakary Mwamnyeto na golikipa Diarra kusababisha goli la kusawazisha kutokana na makosa yao ya kizembe!
Na katika hili ni lazima kocha aambiwe ukweli. Apunguze dharau kwa wapinzani wake. Kichapo cha leo ni kocha ndiyo kajitakia. Mwamuzi amejitahidi kwa nafasi yake. Na kama kulikuwepo na madhaifu, basi yalikuwa ni machache sana.
Yanga wanatakiwa wajipange upya. Na wapambane. Wakilewa sifa, ubingwa wa ligi kuu utaenda simba.
Poleni sana mashabiki kwa wasio na team maalum kama mimi tukutane mezaniKila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya...
Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa...
Wananchi jiandaeni kisaikolojia.. kama mshindi wa Ngao ya jamii alivopatikana kimauza uza ndivo atakavopewa ubingwa na "Rais wa Maisha..."
Tupambane Tu club bingwa msimu huu "Rais wa Maisha" hataki tupate kitu...
Mtanielewa baadaye
Yanga saiv nitim yakimataifa ishatoka huko mashabik wajinga kama wew inabid uhamie kule kwamwenyekit wenu rage, mechi tumeshindwa wenyewe nandio mpira ukifungwa unakua mtumwa namuda unaona hautoshiWe umeangalia ule mpira au unaleta hisia..
Ihefu wametumia hujuma za kuanguka anguka kama waarabu..
Ndio tumefungwa lkn ihefu ilianza kuleta siasa ilikuwa ni haki kwa wachezaji wa yanga kulalama.. muda mwingi umepotezwa kwa wachezaji kulala
Malalamiko fc.Kila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya...
Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa...
Wananchi jiandaeni kisaikolojia.. kama mshindi wa Ngao ya jamii alivopatikana kimauza uza ndivo atakavopewa ubingwa na "Rais wa Maisha..."
Tupambane Tu club bingwa msimu huu "Rais wa Maisha" hataki tupate kitu...
Mtanielewa baadaye
Sasa mbona referii aliongeza dakika 6 na kuacha mpaka dakika 10 unataka je? Acha kulalamika kwa hoja dhaifuWe umeangalia ule mpira au unaleta hisia..
Ihefu wametumia hujuma za kuanguka anguka kama waarabu..
Ndio tumefungwa lkn ihefu ilianza kuleta siasa ilikuwa ni haki kwa wachezaji wa yanga kulalama.. muda mwingi umepotezwa kwa wachezaji kulala
Hahaaaaaa, bro mpira ni mchezo wa wazi. Wote tumeuona. Refa hakuna baya alilolofanya. Ebu vuta pumzi na relax kwanza.We umeangalia ule mpira au unaleta hisia..
Ihefu wametumia hujuma za kuanguka anguka kama waarabu..
Ndio tumefungwa lkn ihefu ilianza kuleta siasa ilikuwa ni haki kwa wachezaji wa yanga kulalama.. muda mwingi umepotezwa kwa wachezaji kulala
Hizo ni mbinu za kawaida kwenye mchezo wa soka.We umeangalia ule mpira au unaleta hisia..