Kuna namna Yanga inahujumiwa, ni ngumu kushinda ubingwa msimu huu

Ujue wewe uko vzr bro....mwanzo wa hii thread ulisema kabisa una mashaka na kikosi
 
We umeangalia ule mpira au unaleta hisia.

Ihefu wametumia hujuma za kuanguka anguka kama waarabu.

Ndio tumefungwa lkn ihefu ilianza kuleta siasa ilikuwa ni haki kwa wachezaji wa yanga kulalama.. muda mwingi umepotezwa kwa wachezaji kulala
Sasa kama Ihefu ndiyo walikuwa wanajiangusha angusha huyo aliyeitwa "Rais wa maisha" anahusikaje?

Ndo aliwatuma Ihefu wajiangushe? Kwani Ihefu wamejiangusha dakika zote 90 hadi Yanga asipate matokeo kama angekuwa wa kuyapata?
 
Dunia imejaa maajabu jichunguze afya ya akili,viongozi wako wanakili wamefungwa sababu ya Refa haipo
 
Yanga ndio timu inayojua namna ya kucheza na kutwaa ubingwa, kufungwa sio sababu ya kufanya Yanga asitwae ubingwa.
Ni marachache Yanga imetwaa ubingwa bila kufungwa.
 
Kwani ilitakiwa pale ilanfya atoe pasi au .... jamani kwa el-merrikh si tulikubaliana timu inaupiga mwingi sasa hivi imekuwaje tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…