NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Kila mzazi ana jukumu la kumpunguzia hali ya kusota mtoto wake kwa kumuandalia mazingira wezeshi, nami nataka niende extra mile ya kujaribu apate uraia wa Zanzibar.
Kwa ninachokiona ni wazi kabisa uraia wa Zanzibar ukiulinganisha na huu wetu kama maji na mafuta, kuna privelledges katika uraia wa Zanzibar kuzidi huu wetu wa kawaida.
Mimi navyoona nikiweza kumpambania mwanangu awe araia wa Zanzibar itakuwa nafuu sana kwake.
Kwa uraia wa bara ukienda jkt unaweza kujitolea mpaka basi lakini ukarudi kwenu kulima magimbi ama kwenda suma jkt mishahara ya laki 2, hali ni tofauti kwa wazanzibari ambao wakiweza kumaliza jkt ni rahisi kupewa kipaumbele kwenye idara za majeshi kama jwtz, polis, n.k na hata huko wakifika kwenye upandishaji wa vyeo huwa inabidi wawemo ili kupata uwakilishi.
Kwa uraia wa bara hadi sasa wahitimu wa vyuoni ni wengi sana na wanaendelea kumiminika, nafasi za ajira zimekuwa na ushindani wa hali ya juu sana kiasi cha kuangalia ufaulu, chuo ulichosoma, experience, n.k. Ila kwa upande wa Zanzibar, uraia ni sifa tosha kabisa. mfano zinaweza kutangazwa kazi 100 taasisi flani ni lazima uwakilisi wa zanzibar uwepo walau katika nafasi 20, na hata hizo hawawezi zijaza maana wapo wachache.