Mtutuwandei
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 1,317
- 1,817
Haitoshi. Lazima aishi Zanzibar miaka mitano mfululizo.Mtoto akizaliwa Zanzibar, Cheti cha kuzaliwa kikisoma kule atakuwa na Faida ya kupata kitambulisho cha Mzanzibar mkaazi.
Passport ni moja bara na visiwani