Kuna namna yoyote naweza kuifanya ili mtoto wangu awe raia wa Zanzibar ili nimpunguzie mzigo wa uraia wa bara?

Ukienda Zanzibar tukipata mume una adopt uraia wa mumeo automatically watoto wqko wanakuwa raia. Mimi niko tayari kukuowa!
Ukite umetangazia ndoa dingi moja lenye mzinga wa kitambi na uwaraza😁😁😁
 
Salome mimi nipo tayari kukuowa ili mtoto wetu apate uraia wa Zanzibar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…