Kuna nchi Afrika Mashariki inayomiliki ndege za kivita zisizotumia rubani?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Katika ukanda wa Afrika Mashariki kuna inamiliki ndege zisizo na rubani kwa ajili ya vita?

Kama ipo je hizo ndege ni mpya au zamani? Tunaweza kukabiliana na tishio mashambulizi kama Israeli?

Kama hatuna kwanini tunakwenda kuficha majini Ukata? Tutaweza kujilinda wenyewe bila nguvu ya kiuchumi?Tutapataje nguvu ya kiuchumi kwa kuwa na aslimia kubwa ya viongozi tegemezi na asilimia ndogo ya watu wanaowaza kujitegemea?

Kama taasisi za dini zimeweza kujitegemea kwanini siyo serikali?
 
Tutazipata wapi ndugu yangu kama hata umeme unatushinda. Eti Vitoto vya wazee wa zamani wa CCM ambao pia walifeli uongoz ndio viongozi.
 
Kwa sasa technology ime advance! Katika uwanja wa kivita Drones ndiyo habari ya dunia!
Kwa East Africa sijui! Labda kwa PK na waasi wake M23!
 
Africa tunasumbuliwa na mchwa wanaokula nchi hata bajeti zinazoidhinishwa, nusu zinapigwa kama sio robo3

Angalia Nigeria wakati kundi la Boko Haram linawasumbua
Rais aliwaita mawaziri akiwemo waziri wa ulinzi na makamanda wakubwa wote na kuwauliza kwanini hawa watu mnashindwa kuwadhibiti? Buhari

Waziri wa Ulinzi akasema hawana vifaa vya kutosha
Buhari aliidhinisha mabilioni ili zinunuliwe helicopter na ndege za kivita na kila aina ya silaha
Baada ya mda Boko wakawa wanaingia kwenye miji kabisa na kuteka na kuiba chakula
. Kumbe hela zote alizoidhinisha Rais wao wamegawana kuanzia waziri mpaka wakuu wa majeshi

Hebu angalia hao ndio wenzetu walioanika mambo yao hadharani je sisi wanaidhinisha mangapi
Ukiangalia parade ni ndege zina miaka zaidi ya 40 naona hata mask zili expire zamani ila bado zinahesabiwa kama zimo kwenye bajeti ya mwaka

Sio sisi tu Africa yote iko sawa isipokuwa mataifa kadhaa yenye kujua usalama wao ni muhimu zaidi
 
Katika ukanda wa Afrika Mashariki kuna inamiliki ndege zisizo na rubani kwa ajili ya vita?

Kama ipo je hizo ndege ni mpya au zamani? Tunaweza kukabiliana na tishio mashambulizi kama Israeli?

Kama hatuna kwanini tunakwenda kuficha majini Ukata? Tutaweza kujilinda wenyewe bila nguvu ya kiuchumi?Tutapataje nguvu ya kiuchumi kwa kuwa na aslimia kubwa ya viongozi tegemezi na asilimia ndogo ya watu wanaowaza kujitegemea?

Kama taasisi za dini zimeweza kujitegemea kwanini siyo serikali?
Rwanda kupitia M23 walitumia drones kushambulia kambi za Jeshi la Congo.
 
Back
Top Bottom