Jibu: Ndiyo,majeshi yote ya Afrika Mashariki yanamiliki ndege zisizotumia rubani (drones). Zinapatikana kwa urahisi sana na ni bei rahisi kuliko makombora!
Jibu: Ndiyo, tunaweza kujilinda na mashambulizi ya ndege zisizo na rubani. Drones huwa ni rahisi kuziangusha(kuzitungua) kuliko makombora!
Unaweza kutumia bunduki, mawimbi ya redio,net gun, laser, cyber n.k (Unalikumbuka gari la mawasiliano enzi za Magu??) . Lile gari kwa mifumo yake linaweza kuangusha drones nyingi tu kwa mara moja!
Elimu: Kwenye vita: Drones hutumika kuichosha mifumo ya kutungulia makombora ndiyo maana hutumwa kwa wingi sana.
Zikitumwa kwa wingi mkubwa, hizo njia haziwezi kufanya kazi kwa ufanisi, hapa ndipo mifumo ya kutungulia makombora hufanya kazi ambayo ni dakika sifuri tu!
Lakini hii mifumo huchoshwa kwa mfumo huu: Zinatumwa drones 20, halafu makombora 5, kawaulize Israel walitungua makombora yote???
Swali: Unahisi Israel bila msaada wa Western Powers angeweza kuhimili mashambulizi??? Au unahisi yeye ndiye katungua zote??