Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Hiyo habari imetoka :CNN,Al jazeir,BBC,Reuter , SKy au houth tvIran imetisha aisee, unaishambulia Israel kwa makombora yote Yale na drones na Israel haijibu? Ahahahah
Kweli imebadilika sana
M23 Wana drones,Rwanda anazo kibao,kwa mujibu wa marara na kitabu chake 'behind the presidential curtain'Katika ukanda wa Afrika Mashariki kuna inamiliki ndege zisizo na rubani kwa ajili ya vita?
Kama ipo je hizo ndege ni mpya au zamani? Tunaweza kukabiliana na tishio mashambulizi kama Israeli?
Kama hatuna kwanini tunakwenda kuficha majini Ukata? Tutaweza kujilinda wenyewe bila nguvu ya kiuchumi?Tutapataje nguvu ya kiuchumi kwa kuwa na aslimia kubwa ya viongozi tegemezi na asilimia ndogo ya watu wanaowaza kujitegemea?
Kama taasisi za dini zimeweza kujitegemea kwanini siyo serikali?
Iran hawezi kuwa na teknolojia ya kivita ambayo nchi za magharibi hana anti yakeNawe unaamini?
Ha ha ha ha ha ama kweliKuna jirani yangu hapa niliona mwanae anaichezea na remote. Kina kelele balaa
Kwa hiyo mkiona bundl polisi mbona Chadema huwa mnatimua mbio kulkoni?Sisi tuna bundi kibao yaani.
Jibu: Ndiyo,majeshi yote ya Afrika Mashariki yanamiliki ndege zisizotumia rubani (drones). Zinapatikana kwa urahisi sana na ni bei rahisi kuliko makombora!Katika ukanda wa Afrika Mashariki kuna inamiliki ndege zisizo na rubani kwa ajili ya vita?
Jibu: Ndiyo, tunaweza kujilinda na mashambulizi ya ndege zisizo na rubani. Drones huwa ni rahisi kuziangusha(kuzitungua) kuliko makombora!Tunaweza kukabiliana na tishio mashambulizi kama Israeli?
Hiyo kweliIran hawezi kuwa na teknolojia ya kivita ambayo nchi za magharibi hana anti yake
Mgh braza sisi huku tunapigana basi, tunataniana kibange-bange tu😀Sasa vile vita kule Congo DRC wanaopigana kwenye misitu na mapoli si ingekuwa muda mchache sana wanafyekwa wote?.
Hapana, chache tu ndo zimepenya..Na wewe unaamini kuwa zote zime hit target?
Katika ukanda wa Afrika Mashariki kuna inamiliki ndege zisizo na rubani kwa ajili ya vita?
Kama ipo je hizo ndege ni mpya au zamani? Tunaweza kukabiliana na tishio mashambulizi kama Israeli?
Kama hatuna kwanini tunakwenda kuficha majini Ukata? Tutaweza kujilinda wenyewe bila nguvu ya kiuchumi?Tutapataje nguvu ya kiuchumi kwa kuwa na aslimia kubwa ya viongozi tegemezi na asilimia ndogo ya watu wanaowaza kujitegemea?
Kama taasisi za dini zimeweza kujitegemea kwanini siyo serikali?
SiriKatika ukanda wa Afrika Mashariki kuna inamiliki ndege zisizo na rubani kwa ajili ya vita?
Kama ipo je hizo ndege ni mpya au zamani? Tunaweza kukabiliana na tishio mashambulizi kama Israeli?
Kama hatuna kwanini tunakwenda kuficha majini Ukata? Tutaweza kujilinda wenyewe bila nguvu ya kiuchumi?Tutapataje nguvu ya kiuchumi kwa kuwa na aslimia kubwa ya viongozi tegemezi na asilimia ndogo ya watu wanaowaza kujitegemea?
Kama taasisi za dini zimeweza kujitegemea kwanini siyo serikali?
Sisi tumebaki kudhitiana wenyewe kwa wenyewe na wizi wa kuraHapana, chache tu ndo zimepenya..
Lakn najifunza kuwa wenzetu wako imara sana aisee
Adui watatu mbele, nyuma mmoja,wawili kushoto🤣🤣🤣🤣
Ndiyo sisi haoAdui watatu mbele, nyuma mmoja,wawili kushoto🤣🤣🤣🤣
Iran imetisha aisee, unaishambulia Israel kwa makombora yote Yale na drones na Israel haijibu? Ahahahah
Kweli imebadilika sana
Cruise missile yenye range zaidi 2000km ina thamani gani?Jibu: Ndiyo,majeshi yote ya Afrika Mashariki yanamiliki ndege zisizotumia rubani (drones). Zinapatikana kwa urahisi sana na ni bei rahisi kuliko makombora!
Jibu: Ndiyo, tunaweza kujilinda na mashambulizi ya ndege zisizo na rubani. Drones huwa ni rahisi kuziangusha(kuzitungua) kuliko makombora!
Unaweza kutumia bunduki, mawimbi ya redio,net gun, laser, cyber n.k (Unalikumbuka gari la mawasiliano enzi za Magu??) . Lile gari kwa mifumo yake linaweza kuangusha drones nyingi tu kwa mara moja!
Elimu: Kwenye vita: Drones hutumika kuichosha mifumo ya kutungulia makombora ndiyo maana hutumwa kwa wingi sana.
Zikitumwa kwa wingi mkubwa, hizo njia haziwezi kufanya kazi kwa ufanisi, hapa ndipo mifumo ya kutungulia makombora hufanya kazi ambayo ni dakika sifuri tu!
Lakini hii mifumo huchoshwa kwa mfumo huu: Zinatumwa drones 20, halafu makombora 5, kawaulize Israel walitungua makombora yote???
Swali: Unahisi Israel bila msaada wa Western Powers angeweza kuhimili mashambulizi??? Au unahisi yeye ndiye katungua zote??