Kuna nchi Afrika Mashariki inayomiliki ndege za kivita zisizotumia rubani?

Cruise missile yenye range zaidi 2000km ina thamani gani?
Hizi ni bei za makombora ya Mrusi na drones za Iran kwa zinazotumika huko Ukraine (Zingatia neno makisio na makadirio) (Nyongeza: Bei wamesema Wamagharibi wenyewe)

Forbes estimates Jan. 2 mass attack cost Russia nearly $620 million​



Forbes calculated the cost based on the estimates that one Russian Kh-101 cruise missile costs $13 million, a Kalibr cruise missile costs $ 6.5 million, a Kinzhal ballistic missile costs $15 million, an Iskander costs $3 million, and one Shahed 136 drone costs $50,000, among others.


 
Iran imetisha aisee, unaishambulia Israel kwa makombora yote Yale na drones na Israel haijibu? Ahahahah

Kweli imebadilika sana
Siyo kuwa hawajibu fuatilia aljazera cabineti imekaa kufanya tathmini utasikia retaliation yao
 
nikiona Iran anavyotuma vifurushi kutokea kwake umbali wa zaidi ya km2000,alafu nikifikiria wanajeshi wa Tanzania wanavyovunja matofali kwa kichwa naona kabisa Tanzania tupo nyuma sana kwenye ulimwengu wa technology.
Vijana wengi wa Tanzania tuna shida katika kujadili mambo, mtu huna mafunzo yoyote ya kijeshi lakini unataka kuchangia. Note kuvunja matofari, kubeba magogo na shughuli zingine ni sehemu ya kuonesha ukakamavu tu wa cdo na wala si rangi halisi ya uwanja wa medani. Jeshi letu liko imara kimkakati zaidi hizo drones unazosikia au kuona kwenye television, vita ni sanaa ya mapigano usifikili sisi niwajinga sio kila kitu kinapaswa kuwa exhibited
 
hamna kitu umeandika hapa,vita ya sasa ni tech sio kubeba magogo.
 
Sahihi kabisa
 
hamna kitu umeandika hapa,vita ya sasa ni tech sio kubeba magogo.
Wewe dogo unaakili au ulienda shule kujifunza ujinga, unafikili jeshi la wananchi hajui mahitaji ya technologia ya vita, nenda kikosi cha mzinga uangalie vijana wanafanya nini pale. Chuo cha maofisa TMA unafikili kuja wajinga pale, nakuambia sasa chuo cha maofisa kuna watu wanaakili pale wewe huwezi kuaford. Changamoto zipo kutokana na limited resources zetu lakini kwa level yetu tunapiga hatua sio haba.
 
mwambie aliekutuma ajaribu mbinu mpya kenge wewe
 
DRC wanazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…