kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
- Thread starter
- #101
UPDATE
Yametokea na tra wameanzisha kituo rwanda nashauri ukiagiza mzigo acha uende mpaka kigali then uurudishe Tanzania tena kutokea rwanda ili uepuke kukamuliwa kodi kubwa bandarini
na faida ni kuwa Tra kwa upande wa mizigo inayoenda Rwanda wanaifanyia kazi na kushughulika 24 hours yaani kwa shift so tumieni fursa
Pili hii reli ya standard gauge lengo ni ifike kigali so itakua easy kusafirisha bidhaa from Bandarini to Kigali yaani ni masaa tu
Tumieni fursa