Kitu kikubwa ambacho wengi hawakijui. Mikoa mingi ya pembezoni mwa nchi hasa ambayo inapakana na nchi jirani zenye migogoro ya Vita ni masikini mno.
Hapa ninamaanisha bukoba, kigoma, katavi, rukwa kwa sehemu.
Migrant wengi waliokimbia kwa vita nchini kwao wameweka mizizi Tanzania kwa kutumia resources zetu vizuri na kuingia ktk siasa kupitia serikali ya ccm.
Ni jasiri ktk kufanya uovu aina zote ilimradi kiongozi wa ccm apite kwa hiyo nao viongozi hao wakiwa madarakani hutoa ulinzi na uraia kwa wahusika kama zawadi kuu.
Hii si kwa wanaccm wote but majority hali iko hivyo.
Mikoa hiyo imedidimizwa kiuchumi kwa mbinu nyingi sana. Ndiyo maana migogoro mingi ya wakulima na wafugaji bukoba haikomi kwa sababu kiongozi anapewa rushwa hadi ngombe 50 zibazochangwa na jumuiya hiyo.
Kuna mengi wengi hawayajui nchi hii. Warundi wameijaza nchi yao kwa kuzaliana wameanza kugombana wametapikia Tanzania kuijaza nchi yetu ili waanze kugombana tena.
Kwa wasiojua hadi sasa muumini mkatoliki mhutu hawezi kukaa kiti kimoja na muumini mtusi mkatoliki hadi sasa.
Ninaongea haya kwa ushahidi mwingi miaka michache wahutu na watusi walitaka kuuana shule ya sekondari kantalamba sumbawanga kwa kuwa wote walichaguliwa kusoma hapo wakawa wanawindana kuuana. Mliosoma kantalamba enzi hizo mnajua.
Wahutu na Watusi ni wazuri wa sura ila roho zao ni sumu. Tuwe na tahadhari kuwapa uraia ni kosa kubwa sana.
Wahutu na Watusi wanaoishabikia ccm ni watanzania ila wenzao wasioishabikia ccm hutuhumiwa kuwa ni wakimbizi na hurudishwa kwao.
Iko hivyo hivyo hata na kwa wakongo waishio Tanzania mwambao wa ziwa Tanganyika.
Kama hujui ni vema kutulia siyo kuleta ubishi wa ovyo. Watanzania wengi wananyanyasika sana kwa ajili ya hawa wageni wa Rwanda na Burundi including Drc Congo.
Nafuu Congo si hawa wanyalukolo.
Sent using
Jamii Forums mobile app