Unashangaa wakati tunatawaliwa na mtu mwenye asili ya hukoWengi tunajua tunavyoumia pale tunapoagiza magari hususani kupitia bandari ya dare es sallam ilivyo ghali na kodi kubwa
Lakini inasemekana kuna nchi jirani ambao kwao ni neema tu kwani wakati sisi tukitozwa bei kubwa wakati gari zetu tulizonunua zikipita bandarini wao wanapitishiwa sawa na bure
Mfano inasemekana gari za rwanda enzi za kikwete zikipita bandarini basi kila gari ilikua inatozwa usd 500 lakini kwa sasa inasemekana wanatozwa usd 150 kwa magari makubwa kama malori na mascania huku magari mengine madogo madogo yakipita bure bandarini
Kama ni kweli ili jambo basi ni jambo baya mno na kutia hasira kuwa nchi yetu imegeuzwa jamvi la wageni kila mtu anafaidi
Kwanini mtanzania aagize gari akatwe makodi huku raia wa nchi jirani anunue gari kama ile ile asikatwe kodi?
Kama haya ni ya kweli bhas ujue tuna kiongozi wa ajabu kuwahi kutokea toka dunia imeumbwa