Tetesi: Kuna nchi jirani ambayo magari yake yanapita free bandarini bila kukatwa kodi

Mkuu, unaanza kujiskia vibaya kwa tetesi tu! Hivi umejiuliza kama hilo jambo linawezekana? Kwamba hizo handling charges (haiwezi kua ushuru) wanazotozwa Rwanda ni tofauti na wanazotozwa nchi nyingine? Alichosema mtoa mada ni serious allegation na alitakiwa afanye uchunguzi na ailete ikiwa ni habari kamili na si tetesi
 
Kumbe "inasemekana".

No research no right to speak.

Upuuzi huo.

Bandari ya Dar., si kazi yake kutoza kodi ya nchi zingine. Bandari ni huduma na kila apitishae mizigo hapo kuna tozo za bandari lazima alipie. Hazihusiani na kodi.

Wewe kama unatozwa kodi pale bandarini basi hiyo kodi unatozwa na TRA na si bandari.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Huwa nashindwa kuelewa pale mtu anapoanzisha mada kwa kutaka aanzishe bila kuzifanyia uchunguzi ajue nn ukweli wake.
Wengine humu wanafaa kuandika mada za chitchat tuu huku kwingine wanapelea sana
 
Kumbe "inasemekana".

No research no right to speak.

Upuuzi huo.

Bandari ya Dar., si kazi yake kutoza kodi ya nchi zingine. Bandari ni huduma na kila apitishae mizigo hapo kuna tozo za bandari lazima alipie. Hazihusiani na kodi.

Wewe kama unatozwa kodi pale bandarini basi hiyo kodi unatozwa na TRA na si bandari.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Siku zote atakapo kuwepo Faiza nauhakika hakuna jambo litakaloshindikana
Hayo majibu ni Murua saana uliompa dadangu..
Majibu hayo na imani hata huo Uzi hautafika second page[emoji1]

Sent from Calculator Phone vesion007
 
Wengi tunajua tunavyoumia pale tunapoagiza magari hususani kupitia bandari ya dare es sallam ilivyo ghali na kodi kubwa
Lakini inasemekana kuna nchi jirani ambao kwao ni neema tu kwani wakati sisi tukitozwa bei kubwa wakati gari zetu tulizonunua zikipita bandarini wao wanapitishiwa sawa na bure
Mfano inasemekana gari za rwanda enzi za kikwete zikipita bandarini basi kila gari ilikua inatozwa usd 500 lakini kwa sasa inasemekana wanatozwa usd 150 kwa magari makubwa kama malori na mascania huku magari mengine madogo madogo yakipita bure bandarini
Kama ni kweli ili jambo basi ni jambo baya mno na kutia hasira kuwa nchi yetu imegeuzwa jamvi la wageni kila mtu anafaidi
Kwanini mtanzania aagize gari akatwe makodi huku raia wa nchi jirani anunue gari kama ile ile asikatwe kodi?
Kama haya ni ya kweli bhas ujue tuna kiongozi wa ajabu kuwahi kutokea toka dunia imeumbwa
Wewe ndiye mburura, kipindi cha Mkwere nyie ndiye mliwafukuza Rwanda kuacha kutumia bandari yetu, sasa unaona jitihada zinafanyika za kurudisha biashara hiyo wewe inakuja hapa unatoa mapovu. Unadhani Serikali hii inafanya kama ninyi mlivyozoea kufanya biashara na wahujumu uchumi?
Huu mchezo wa kibiashara hauhitaji hasira ndugu.
 
Kumbe "inasemekana".

No research no right to speak.

Upuuzi huo.

Bandari ya Dar., si kazi yake kutoza kodi ya nchi zingine. Bandari ni huduma na kila apitishae mizigo hapo kuna tozo za bandari lazima alipie. Hazihusiani na kodi.

Wewe kama unatozwa kodi pale bandarini basi hiyo kodi unatozwa na TRA na si bandari.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ajabu sana mtu hajui hata Transit ni nini?
 
UKIWA MUONGO USIWE MSAHAULIFU,,,,
Kwa maelezo yako tu,yanajionesha wazi kua hujawahi kuagiza gari nje ikapitia Bandari ya dar
Wenye kuagiza wanajua sheria zote za bandari na TRA pamoja na ushuru wake
Toka lini gari au kontena iliokua TRANSIT ikalipiwa ushuru???
Mada zingine hua mnafikiria kabla ya kuandika[emoji1321]
Ajabu kuna nyumbu wanamfuata tu nao wakaliwe na mamba!
 
Acheni ujinga. Sometimes mjadili vitu vya maana. By the way yule mnaemchukia atakuwepo Chamwino hadi 2025.
jkk.jpg
 
mods muwe mnafuta nyuzi kama hizi zenye kuleta uchochezi kuliko kugawa ban kwa watu,
kwa style hii hata heshima ya jamiiforum itashuka mara dufu.

".No woman No cry.."
 
Wengi tunajua tunavyoumia pale tunapoagiza magari hususani kupitia bandari ya dare es sallam ilivyo ghali na kodi kubwa
Lakini inasemekana kuna nchi jirani ambao kwao ni neema tu kwani wakati sisi tukitozwa bei kubwa wakati gari zetu tulizonunua zikipita bandarini wao wanapitishiwa sawa na bure
Mfano inasemekana gari za rwanda enzi za kikwete zikipita bandarini basi kila gari ilikua inatozwa usd 500 lakini kwa sasa inasemekana wanatozwa usd 150 kwa magari makubwa kama malori na mascania huku magari mengine madogo madogo yakipita bure bandarini
Kama ni kweli ili jambo basi ni jambo baya mno na kutia hasira kuwa nchi yetu imegeuzwa jamvi la wageni kila mtu anafaidi
Kwanini mtanzania aagize gari akatwe makodi huku raia wa nchi jirani anunue gari kama ile ile asikatwe kodi?
Kama haya ni ya kweli bhas ujue tuna kiongozi wa ajabu kuwahi kutokea toka dunia imeumbwa
wajameni msiwe na wivu kihivyo bana.
mwenzenu hapa kijijini kwetu ni jirani zaidi na Rwanda kuliko the rest of Tanzania.

so, kiukweli kabisa kwangu mimi Rwanda ni kwetu zaidi. msema kweli ni mpenzi wa Mungu wajameni mcheza kwao hutunzwa. niombeeni!
 
Wewe ndiye mburura, kipindi cha Mkwere nyie ndiye mliwafukuza Rwanda kuacha kutumia bandari yetu, sasa unaona jitihada zinafanyika za kurudisha biashara hiyo wewe inakuja hapa unatoa mapovu. Unadhani Serikali hii inafanya kama ninyi mlivyozoea kufanya biashara na wahujumu uchumi?
Huu mchezo wa kibiashara hauhitaji hasira ndugu.
Inamaana mnawarudisha kwa kuwapa Bure?
Acha hoja za ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom