Tetesi: Kuna nchi jirani ambayo magari yake yanapita free bandarini bila kukatwa kodi

UPDATE
Yametokea na tra wameanzisha kituo rwanda nashauri ukiagiza mzigo acha uende mpaka kigali then uurudishe Tanzania tena kutokea rwanda ili uepuke kukamuliwa kodi kubwa bandarini
na faida ni kuwa Tra kwa upande wa mizigo inayoenda Rwanda wanaifanyia kazi na kushughulika 24 hours yaani kwa shift so tumieni fursa

Pili hii reli ya standard gauge lengo ni ifike kigali so itakua easy kusafirisha bidhaa from Bandarini to Kigali yaani ni masaa tu

Tumieni fursa
 
Kuna watu wana akili ndogo sana MTU analishwa story za vijiwen huko halafu anakaa nyuma ya kicharazio kuanza kuaminisha watu story hizo hivi kwann kama MTU hujui kitu usiulize na kuelewa kabla ya kuongea pia watanzania tumekuwa watu wa ajabu sana kila story tumekuwa watu wa kuamin tu bila kufanya uchunguzi kifupi mtoa maada huna unachokijua kwenye shughuri za bandari na tra yaan ww ni sifuri kwenye masuala ya bandar na tra
 
Kwani mzigo au gari ukiagiza tokea Rwanda kuna unafuu wowote au kodi sawa na alieagiza toka nje yaani Kwa njia ya maji,Mimi nataka niagize gari tokea Rwanda VIP Kuhusu ushuru inakuaje upo unafuu wowote
 
Mkuu mambo kama haya yanaanza kutufanya kuwa na mashaka na uraia wa bwana JPM

Mhutu anatetea wahutu wenzie. Jamani tutoke 26418. Mimi najua watu walio kuwa na bidhaa zao pale bandarini na wakapigwa ushuru wa juu zaidi ya thamani ya mzigo huo bandarini, sasa watu wengi wana acha tu mizigo bandarini na inauzwa halafu watu wa Rwanda wanasafirisha karibu na bure, jamani jamani jamani kweli hii ni haki. 26418 ni siku ya ukombozi.
 
Kwani mzigo au gari ukiagiza tokea Rwanda kuna unafuu wowote au kodi sawa na alieagiza toka nje,Mimi nataka niagize gari tokea Rwanda VIP Kuhusu ushuru inakuaje upo unafuu wowote


Hivi kweli nyie mnao msupport Magufuli kweli nyinyi ni wazalendo jamani. Yaani mtanzania ana diliki kuship vitu vyake viende nje ya nchi yake wakati vimepakuliwa katika nchi yake =Bandari ya Dar Es Salaam, kwa sababu raia wa Rwanda wanapewa preferencial treatment kuliko watanzania ambao ndiyo wazawa. HAPANA JAMANI NIKO TAYARI KUFA KUITETEA NCHI YANGU KWA HILI.
 
 
kweli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…