Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Kwa jina hiyo nchi imenitoka ila ni kakisiwa ambacho hakana rasilimali yoyote ila kanategemea zamana ya pesa utakayoweka kwao wakupe passport.
Ukipata passport yao unaweza kwenda nchi nyingi free ambazo kwa passport yetu free utapata sudani ,somalia na zilizomo hata uwezi kufika na wala hakuna lolote.
Tuje kwa kenya ambako kumekuwa sehemu kichochoro cha watu na nchi ambazo zimewapiga ban ila wanatumia utambulisho wa kenya.
Mfano Yule kiongozi wa sudani kaskazini amdani ana passport ya kenya,Yule aliyekuwa anapiga picha na maraisi wa kila nchi mpaka tanzania naye ana passport ya kenya.
Swali la kujiuliza na kuanza kudadavua inawezekana hata makonda naye ana passport ya kemya.