Kuna nchi ukimpeleka mtoto kusoma chuo utajuta

Kuna mshikaji amepanga juzi kati tu apa kaa miez mitatu ishapita ..nnapokaa Mimi Sasa tumeanza kuzoeana baada ya kuona life langu ..Basi akanifuata mzee kafunguka Yani hajui kitu Zaid ya kupika chai na kuchemsha mayai tu ..anakula vibandani umo ..Ni wale mamy am going to school..
Basi anataka nimfundishe angalau kupika ..nimempanga atafute angalau 150k. Sifanyi kazi za bure labda arudi kwa maza ake akamfundisheπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Too bad company nayo inaenda kupotea miradi mingi ya serikali hawakulipa kipindi cha magufuli na wengi wamepunguzwa kwa hiyo sijui tuseme ndo inataka kuanza kunyanyuka upya lkn workers wamepunguzwa
Duh poleni campuni nyingi Zina struggle Sana tangu Magu aingie madarakani mambo mengi yameyumba mnoo
Siku mkikaa vizuri mtukumbukke na sisi
 
Mwl Ndimbo??
 
Atakuwa alipokelewa na Dr Shika (R.I.P)
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ishakua fursa
 
Unaongelea vyuo vya kata.

Huwezi kupata top university na marks za kipuuzi hata iweje.

Zoom college ya US au China ndo utaingia na hizo marks.
 
Inategemea mtu na mtu,mimi nimekaa nje ya nchi zaidi ya miaka 12, sijawahi kuvuta bangi,kwenda hata disco,kukaba wala tabia yeyote mbovu,ila papuchi tu ndio huwa na deal nazo ila sio kivile maana huwa natumia papuchi za low class ili kukwepa miamala ya hapa na pale
 
Elezeen na waliopo hapa vyuo vya bongo vepee??
Hawa wanatumia Sana bumu na hela za pocket chenji kulipa wamama kuwafikia na kuwapikia, unakuta wamepanga wote hawajiwezi, basi mitaani siku hizi wapo wamama wanaoishi Kwa kufua na kupikia wanachuo!

Anyways ndiyo uchumi wa Kati wa chini!
 
Mi sina ushuhuda ila kama kawaida kuna kitu nakiwaza kuwa haujakiona ila kipo:

Tafiti zinaonesha mtindo wa wazazi kuwaangalia sana na kuwaandalia sana watoto wao una matokeo ya watoto hao kuharibikiwa. Wanaitwa helicopter parents.

Kuna haka kamsemo wanakojidaiaga watu wengi bila kujua ni kabovu,kabovu, kabovu mpaka mwisho. Kale kamsemo kakusema 'Mwanangu mimi sitaki apate shida, nitafanya chochote hata kumtetea ikibidi maana nampenda sana'

Hawa mara nyingi, huwapendelea watoto wao kuwasomesha shule nzuri hadi kuwapeleka nje maana ni kama hela yote waliyoitafuta wameidedicate kuwahudumia watoto wao. Matokeo yake mtoto anajiona hana maamuzi basi anaamua kupindua/rebel chochote kile. Kisaikolojia ni kwamba anajaribu tu kuonyesha msisitizo kwamba 'anayaendesha maisha yake yeye mwenyewe na hapangiwi'

Mtoto aliyekua akiwa anafundishwa kuwa na jukumu [responsible] ni ngumu kubadilika na kufanya vitu vya kumpa raha yeye tu bila kujali wengine wanajiskiaje. Ndiyo hata yeye anaweza kuteleza lakini tuangalie tu what are the odds. Hata akiteleza kurudi sawa ni kugusa tu maana ni mtu responsible for most of his/her actions.
 
Sure mkuu..Lea mtoto kama vile humpendi...lea kama vile kesho hutakuwepo wewe atabaki na strangers..

Mpende mtoto lakin usimfanye ajione special priority kwako..mwache awe na time zake huku unamfuatilia kisir sir..
Kumchapa mtoto kila mzazi huws kuna muuma moyoni lakin usiache kumchapa sometimes anapokosea..thiugh isiwe too much akawa mwoga...

Hiz shule za english medium leo hii hazikuz watoto katika namna ya kuwafanya wawe independ japi wanajitahid upande wa academics so jitahid mzazi amirud home iwe kaz kaz...

Hili ili lifanikiwe kwakwel wazaz lazima lenu liwe moja..
Mfano mimi, home hatuna house girl, bas yf anapigisha mzigo madogo mpaka mpaka nasema dah mke wangu utaniulia wanangu ila nasema waache...
My 10 yrs first born girl ndio ana jukum la kuwa pikia wadogo zake wawil kuwsogesha kuosha vyombo na unawaacha wenyew n everything works out fine na tunaish kisasa tu.

Sio rahis..lakin mojawapo ya sababu ya malez duni ni SINGLE PARENTING.
 
Hii ndiyo pointi, niliandika kabla sijaanza kupitia comments. Nimepitia nimeikuta hapa.

Hii ndiyo pointi mazee, ukijidanganya kulilea toto lako kama yai halifanyi maamuzi hata madogo tu jiandae kukusumbua na kusumbuka tu.

Mtoto wa mkulima anajipeleka mwenyewe shuleni, kila kitu anakisolvu mwenyewe hukohuko huwezi kukuta anababaika kizembe. Hata akila raha anakuwa anajielewa flani. Sasa we endekeza zile za 'sweetie, i'll drop you at school niliyokuandikisha mwezi uliopita, nimejiridhisha hautapata tabu pale' dhania unaupendo saaaaana, mh utajua haujui.

Kuna kitabu kinaitwa Parenting with love and logic by Foster Cline, Jim Fay
 
Russia sijui kuna nini hata madaktari waliosoma huko ni vituko sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…