OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Sawa sawa. 😀😀We ulifundishwaje kujitegemea?
Ni tegemezi hadi leo ama?
Navyojua mtoto has to learn kila kitu kinachowezekana na ili ajue dunia ni nini and how it works
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sawa. 😀😀We ulifundishwaje kujitegemea?
Ni tegemezi hadi leo ama?
Navyojua mtoto has to learn kila kitu kinachowezekana na ili ajue dunia ni nini and how it works
Mana sikuelewi Mkuu😅Sawa sawa. 😀😀
Kuna mshikaji amepanga juzi kati tu apa kaa miez mitatu ishapita ..nnapokaa Mimi Sasa tumeanza kuzoeana baada ya kuona life langu ..Basi akanifuata mzee kafunguka Yani hajui kitu Zaid ya kupika chai na kuchemsha mayai tu ..anakula vibandani umo ..Ni wale mamy am going to school..Vijijini wameimudu Sana hii. Tokea mtoto anavyokuwa akianza Tu kuelewa anatumwa islets chumvi, kaleta mwiko, taratibu akikua nenda mkachote maji, kaokoteni kuni, pikeni uji e.t.c
Mjini muache mtoto ataungua akipika,acha kukata nyanya utajikata, aacha kubeba ndoo utamwaga maji, Hamad kamaliza primary secondary kaenda boarding, akirudi dada mfulie mwanangu alikuwa shule, mpikie anapenda kuku, likizo imeisha alikuwa anaenda tuition Tu, anachojua ni kuoga. Chuo akajitegemee hawezi kukop!
Yani ulichoandika ni sawa kabisa ..inabidi kuanza kuwafundisha madogo ata kujua kupika, kufua na nini..Mana sikuelewi Mkuu😅
Duh poleni campuni nyingi Zina struggle Sana tangu Magu aingie madarakani mambo mengi yameyumba mnooToo bad company nayo inaenda kupotea miradi mingi ya serikali hawakulipa kipindi cha magufuli na wengi wamepunguzwa kwa hiyo sijui tuseme ndo inataka kuanza kunyanyuka upya lkn workers wamepunguzwa
Mwl Ndimbo??Kuna mwalim alinifunfishaga sangu sec mby frm 2 mwanzn
Alisomeaga russia naye alikuwa mtu wa tungi sana,alikuwa anafundisha physics.....kna wakat kma mnara hausomi ....
Alikuwa ananikamata sana na pombe zile power no1 toka Malawi
Kuna siku akanikamata akasema nmpeleke mzaz shule pombe hapo kachkua zote,ikabidi nmpange
Akaniambia hzi nazitoaga wapi nkamwambia boda hko basi akasema niwe namleteaga kimtindo
Kuna siku nkaenda kwake akaniambia alipoenda russia kurudi Ali rudi na friji tu,hahaha
Ova
We ulikuwa nunda [emoji2]Pale form 2 nakmbk nlifukuzwa
Enzi za kina mwalimu ndimbo,kasebele,headmaster makande,mwalm kabigi
Longtime yaani
Ova
Atakuwa alipokelewa na Dr Shika (R.I.P)Hzo zote Cha mtoto
Aisee usije kosea ukampeleka mtoto Russia
Kuna Dogo tulimpeleka aisee nadhani Alisoma Kama miezi sita baada ya Apo akaacha chuo Dogo Ni pombe mwanzo mwisho.
Anatumiwa hela yeye Ni mtungi tu
Amerudi kadata .
Nadhani pombe ya Putin itakua Ni hatari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ishakua fursaKuna mshikaji amepanga juzi kati tu apa kaa miez mitatu ishapita ..nnapokaa Mimi Sasa tumeanza kuzoeana baada ya kuona life langu ..Basi akanifuata mzee kafunguka Yani hajui kitu Zaid ya kupika chai na kuchemsha mayai tu ..anakula vibandani umo ..Ni wale mamy am going to school..
Basi anataka nimfundishe angalau kupika ..nimempanga atafute angalau 150k. Sifanyi kazi za bure labda arudi kwa maza ake akamfundishe[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaongelea vyuo vya kata.Hayo ya kubadirika sina uhakika nayo, ukweli ni wengi hupeleka watoto nje kwa kukosa sifa kuingia vyuo hapa nchini. USA pass za o level unaingia varsity, China f6 ukipata dv 4 unaenda unaingia chuo. Subiri wanafunzi watakao rejea toka Ukraine kama wata dahiliwa vyuo vikuu hapa nchini.
Kwani kuendesha bodaboda Kuna shida?Inawezeka mkuu Kuna ndugu yangu alikwenda kusoma china Mambo ya petroleum engineering bt Cha kushangaza amerudi bongo Sasa ivi ni bodaboda Sasa sijui kilichomkuta huko ni ni ni
Hawa wanatumia Sana bumu na hela za pocket chenji kulipa wamama kuwafikia na kuwapikia, unakuta wamepanga wote hawajiwezi, basi mitaani siku hizi wapo wamama wanaoishi Kwa kufua na kupikia wanachuo!Elezeen na waliopo hapa vyuo vya bongo vepee??
Mi sina ushuhuda ila kama kawaida kuna kitu nakiwaza kuwa haujakiona ila kipo:Hili na zungumzia kwa sababu nimeshuhudia watoto wengi waliopelekwa china mwisho wa siku wameacha chuo,matokeo mabovu kwa sababu ya biashara zilizopo huko.
na USA asilimia kubwa watoto ubadilika na kuanza kufanya mambo ya ajabu hata kuacha chuo kuanza kufanya kazi.
Tunajadili na kutoa ushuuda
Sure mkuu..Lea mtoto kama vile humpendi...lea kama vile kesho hutakuwepo wewe atabaki na strangers..Vijijini wameimudu Sana hii. Tokea mtoto anavyokuwa akianza Tu kuelewa anatumwa islets chumvi, kaleta mwiko, taratibu akikua nenda mkachote maji, kaokoteni kuni, pikeni uji e.t.c
Mjini muache mtoto ataungua akipika,acha kukata nyanya utajikata, aacha kubeba ndoo utamwaga maji, Hamad kamaliza primary secondary kaenda boarding, akirudi dada mfulie mwanangu alikuwa shule, mpikie anapenda kuku, likizo imeisha alikuwa anaenda tuition Tu, anachojua ni kuoga. Chuo akajitegemee hawezi kukop!
Hii ndiyo pointi, niliandika kabla sijaanza kupitia comments. Nimepitia nimeikuta hapa.Ninamfahamu muhindi alimpeleka binti Malaysia, Baba akamchukulia apartment kakupa kila kitu, siku Ka 5 akakaa naye, akarudi Bongo.
Kutua airport, simu binti analia hatari, anaogopa hawezi! Baba akaingia gharama kumpeleka Kaka mtu, aende akakae wiki 2, azoee, Kaka alimiss chuo alikokuwa 2 weeks, ili amsaidie dada Ku settle!
Kweli hatulei watoto kujitegemea, wanakuwa tegemezi, kiasi wanaishia kuwa frustrated ulimbukeni wakipata Uhuru!
Russia sijui kuna nini hata madaktari waliosoma huko ni vituko sana.Hzo zote Cha mtoto
Aisee usije kosea ukampeleka mtoto Russia
Kuna Dogo tulimpeleka aisee nadhani Alisoma Kama miezi sita baada ya Apo akaacha chuo Dogo Ni pombe mwanzo mwisho.
Anatumiwa hela yeye Ni mtungi tu
Amerudi kadata .
Nadhani pombe ya Putin itakua Ni hatari