UMESHASEMA NCHI ZA KIISLAM, AMBAPO KILA KINACHOFANYIKA PALE KINA ENDANA NA CULTURE YA KIISLAM. MAISHA YA KAWAIDA YA KILA SIKU PEKEE YANAKUFANYA UJIONE UNABAGULIWA.
HATA WAISLAM WAKIENDA VARTICAN WANAJIONA WANABAGULIWA ILA KIMSINGI PALE KILA KINACHOENDELEA KINAENDANA NA CULTURE YA KIKATOLIKI HIVYO MTU MWINGINE UNAKUWA ISOLATED.
NATAMANI TUBADILISHE MITAALA YA ELIMU TWENDE NA HESABU NA SAYANSI ILI TUPATE WATU WANAOWEZA KUFIKIRI SAWA SAWA NA KUONDOKANA NA HIZI BAA BLAA!!!!
Wewe jihesabie ni Punguani. Nchi kama Italy, ambayo ni ya Wakristo wengi, lakini hakuna muislam anayezuiwa kujenga msikiti, kutemvea na quran, kuhubiri, kuswali au kuvaa kanzu, licha ya kwamba ukienda mtaani utakutana na wengi wenye maisha ya kila siku yanayoendana na ukristo. Lakini wewe muislam, huzuiwi na yeyote kufanya mambo yako ya kiimani.
Sasa nenda nchi za ajabu kama Saudia au Iran, mkristo haruhusiwi kujenga Kanisa, huruhusiwi kutemvea na Quran, huruhusiwi kuhubiri, kama ni mwanamke lazima uvae yale manguo ya kininja, n.k. Halafu hao waislam wanaaminishwa kuwa wakiua, wao watakapokufa wataenda kuzawafiwa makahaba 72 na mito ya pombe, vitu ambavyo siku zote wakiwa Duniani waliambiwa ni najisi! Kwa kweli, kwa kiasi kikubwa uislam ni laana ya Dunia!