Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Hakuna, mashirika mengi ya Ulaya ata Asia Yana kwenda kufanya connection kwenye Nchi zao kuelekea Marekani.Ni shirika gani lina ndege ya namna hiyo? Je budget ya 12 M inaweza tosha kwa ticket ya roundtrip?
Kenya Ipo ila Bongo Sidhani...Ni shirika gani lina ndege ya namna hiyo? Je budget ya 12 M inaweza tosha kwa ticket ya roundtrip?
12 M sio kubwa kipindi cha high season boss, sihitaji connections nimeambiwa nikianzia kenya naweza pata ngoja nifuatilie.
Do you know that google ni serach engine tu na inategemea taarifa tuzazofeed sisi kwenye websites?
Hiyo 12m unanunua ndege yako kabisa! Nashauri ununue ndege itabaki chenji kidogo utamlipa Rubani
ππππ Ashindwe mwenyewe tuView attachment 3134805
ndege ya 12m hiyo.
We jamaaa ni geniusHiyo 12m unanunua ndege yako kabisa! Nashauri ununue ndege itabaki chenji kidogo utamlipa Rubani