Kuna Ndege ya mojakwamoja toka Airport ya Mwl Nyerere mpaka Marekani?

Kuna Ndege ya mojakwamoja toka Airport ya Mwl Nyerere mpaka Marekani?

Ni shirika gani lina ndege ya namna hiyo? Je budget ya 12 M inaweza tosha kwa ticket ya roundtrip?
Hakuna, mashirika mengi ya Ulaya ata Asia Yana kwenda kufanya connection kwenye Nchi zao kuelekea Marekani.
Uki ingia kwenye site za mashirika ya ndege husika utapata Bei husika.
 
Do you know that Google is free?

Hakuna ndege ya moja kwa moja.

12M kwa ticket peke yake is more than enough.

Cha msingi zaidi una visa ya kwenda huko Marekani?

Mwisho, google is free.
 
Ni shirika gani lina ndege ya namna hiyo? Je budget ya 12 M inaweza tosha kwa ticket ya roundtrip?
Kenya Ipo ila Bongo Sidhani...

Alafu kwa Nauli peke yake sio kubwa ki hivyo labda ulimanisha Pamoja na matumizi mengine.

Usipagawishwe na Bei ya Ndege zetu kwenda mwanza kuwa laki nane ukadhani kwenda marekani ni milion sita bila ya kurudi.. Sisi ndo tuna gharama za usafiri wa ndani wa bei kubwa kuliko anae safiri kwenda dubai.
 
Hiyo 12m unanunua ndege yako kabisa! Nashauri ununue ndege itabaki chenji kidogo utamlipa Rubani
 
12 M sio kubwa kipindi cha high season boss, sihitaji connections nimeambiwa nikianzia kenya naweza pata ngoja nifuatilie.

Kama ulikua unajua hilo kwanini umeuliza?

12M is about 4k USD. Hakuna ticket inafika hapo economy class either season. Acha uzwazwa utapigwa.
 
Ipo ya Rais wetu ilishawahi kwenda moja kwa moja
 
Hiyo 12m unanunua ndege yako kabisa! Nashauri ununue ndege itabaki chenji kidogo utamlipa Rubani
1729849065690.png

ndege ya 12m hiyo.
 
Njia rahisi ni kupanda Kenya Airways kutoka JKIA mpaka New York Marekani.Hii ni direct flight.
Kwa habari zaidi ingia kwenye mtandao wa Kenya Airways.
 
Kenya Airways walikua nayo kutoka JKIA kwenda JFKA , ila sidhani kama hio route bado ipo
 
Back
Top Bottom