seroh star
Member
- Apr 19, 2025
- 19
- 19
Huyo ndugu yangu kafaulu vzr kidato cha nne akiwa na B kwenye masomo yake ya ufundi kasomea electronics and communication engineering(B) , engineering science (B) na masomo yote ya science ana A
Swala la A level hataki kusikia na kama ijulikanavyo tamisemi wamefungua dirisha la kubadilisha selform mpaka 30 April mwaka huu
anahitaji ushauri wakujua kozi nzuri ya kusomea kutokana na ufundi aliosomea O level ambazo zipo sokoni kwa sasa au siku zijazo. Naombeni ushauri na maoni yenu wakuu
Na kwenye selform ake amejaza biomedical engineering,IT , cyber security, computer science na computer engineering
je yupo sawa? Au abadilishe kipi