Kuna ndugu angu amemaliza form 4 shule za technical na amefaulu vzr ila anataka chuo je asomee kozi gani yenye soko kwa upande wa technical?

Asomee vitu ambavyo hatahitaji kuajiriwa bali kujituma na kujiajiri mwenyewe.
Electrical technician itamfaa sana kwani hata hatahitaji tools nyingi sana
Kila la kheri kwake
 
Huyo ni wewe all the best....kasome mechanical engineer NIT..then kimbilia airport ukatengeneze zile ATCL na zingine....
Hutajuta maisha yako yoteee
 
A levo ni kwa watu smart na wanaojiamini, kama una akili ya kuungaunga nenda diploma huko!
Anyway, mimi ningeshauri akasome Civil au electrical au mechanical au aechitecture hiyo biomedical imekaa kisiasa na ataishia kuwa mwajiriwa
 
Sawa mkuu ntazingatia
 
Ha
Akasome diploma ya course yoyote anayopenda ya engineering, electrical, civil, biomedical, water(?), computer etc. Akipata ajira atajiendeleza huko. Degree nyingi zimelala tu mitaani.
Maji yako na diversity kubwa kwa kipindi hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…