Kuna ndugu wengine wakija kwako ni changamoto sana

Kuna ndugu wengine wakija kwako ni changamoto sana

kule chooni unapomaliza shughuli zako, huwa kuna zoezi la kuflashi ama kumwaga maji ili choo kiende, ila amini usiamini kuna vinyesi hata uflashi mara ngapi kitaibuka tu, hakunaaga utofauti na aina ya watu hawa.

-kuamka saa tatu asubuhi
-ukimtaftia kazi visingizio kibao ilimradi asiifanye.
-kaja kusalimia ila ni mwaka sasa unaenda na hajishughulishi
-chakula anakula kama vile hajala siku 2
-kurudi usiku mida geti lishafungwa
-kuomba omba hela wakati kazi hataki
bhebhe nsukuma?
 
Kwahiyo ule usemi wa mgeni njoo mwenyeji apone hauna mashiko kwako badala yake imekua mgeni njoo mwenyeji aumwe.
 
Kuna jamaa alipanga na mke wafanye kama wanaachana yaani mwanamke arudi kwao na waanze kama wanagombana kila siku ili yule jamaa aondoke bila hvyo haondoki huyo.
 
kule chooni unapomaliza shughuli zako, huwa kuna zoezi la kuflashi ama kumwaga maji ili choo kiende, ila amini usiamini kuna vinyesi hata uflashi mara ngapi kitaibuka tu, hakunaaga utofauti na aina ya watu hawa.

-kuamka saa tatu asubuhi
-ukimtaftia kazi visingizio kibao ilimradi asiifanye.
-kaja kusalimia ila ni mwaka sasa unaenda na hajishughulishi
-chakula anakula kama vile hajala siku 2
-kurudi usiku mida geti lishafungwa
-kuomba omba hela wakati kazi hataki
Kama umefikia hatua ya kumiliki na kutunza familia, huna budi kujifunza namna ya kututatua hiyo changamoto.

Japo ni mambo ambayo ni too personal ila unaonekana una roho ya korosho sana.
 
Back
Top Bottom