Kuna ndugu wengine wakija kwako ni changamoto sana

bhebhe nsukuma?
 
Kwahiyo ule usemi wa mgeni njoo mwenyeji apone hauna mashiko kwako badala yake imekua mgeni njoo mwenyeji aumwe.
 
Kuna jamaa alipanga na mke wafanye kama wanaachana yaani mwanamke arudi kwao na waanze kama wanagombana kila siku ili yule jamaa aondoke bila hvyo haondoki huyo.
 
Kama umefikia hatua ya kumiliki na kutunza familia, huna budi kujifunza namna ya kututatua hiyo changamoto.

Japo ni mambo ambayo ni too personal ila unaonekana una roho ya korosho sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…