Kuna nini Arusha? Nimeona msururu wa Magari ya kijeshi mengine yakiwa na bendera nyekundu mama vile Goma

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Nimeenda Chuga kumsalimia jamaa yangu. Nilipofika maeneo ya Philps kama unaenda Usa river kutokea mjini nimekutana na mabasi yakiongozwa na Landcruiser nyeupe zina bendera nyekundu.

Kwa sababu mimi ni mgeni nimeogopa sana. Nimezoea kukaa kijijini huku napiga zangu chaki.

Sijazoea kuona haya mambo zaidi ya kuyaona kwenye Tv huko Goma ya DRC

Kwa kweli nimeshangaa sana.
 
Movement za wanajeshi ni kitu cha kawaida hasa kwa sehemu kama Arusha. Wametoka/wanakwenda kwenye mazoezi au shughuli yoyote etc
 
Nimeenda Chuga kumsalimia jamaa yangu. Nilipofika maeneo ya Philps kama unaenda Usa river kutokea mjini nimekutana na mabasi yakiongozwa na Landcruiser nyeupe zina bendera nyekundu.

Kwa sababu mimi ni mgeni nimeogopa sana. Nimezoea kukaa kijijini huku napiga zangu chaki.

Sijazoea kuona haya mambo zaidi ya kuyaona kwenye Tv huko Goma ya DRC

Kwa kweli nimeshangaa sana.
Tupiako kapicha basi sisi kina Thomaso tukuamini. Chuga hatupendi umbea kama umbea ndo umekuleta faster geuza rudi zako huko Dar na Pwani.

adriz de mbusii
 
We mburukenge kaa kimya.
Hahahahahaaaaa una lolote wewe umefuata umbea Chuga na wakati chuga hatupendi na hatutaki umbea. Haya faster geuza urudi zako huko pwani na kupa masaa mawili sasa ole wako uendelee kuanika makalio yako chuga.
 
Nimeenda Chuga kumsalimia jamaa yangu. Nilipofika maeneo ya Philps kama unaenda Usa river kutokea mjini nimekutana na mabasi yakiongozwa na Landcruiser nyeupe zina bendera nyekundu.

Kwa sababu mimi ni mgeni nimeogopa sana. Nimezoea kukaa kijijini huku napiga zangu chaki.

Sijazoea kuona haya mambo zaidi ya kuyaona kwenye Tv huko Goma ya DRC

Kwa kweli nimeshangaa sana.
Tupo kwenye mazoezi ya kawaida. Ondoa hofu.
 
Tupia kapicha pendwa kusindikiza huu uzi wa kiwaki.
Screenshot_20260324_204141_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom