Kuna nini Arusha? Nimeona msururu wa Magari ya kijeshi mengine yakiwa na bendera nyekundu mama vile Goma

Kuna nini Arusha? Nimeona msururu wa Magari ya kijeshi mengine yakiwa na bendera nyekundu mama vile Goma

Utakufa vibaya nakuhurumia
We huoni hapa tunajadili ukombozi wa nchiii
Acha nikakufe tu mkuu....😋
20260616_174610.jpg
 
Nimeenda Chuga kumsalimia jamaa yangu. Nilipofika maeneo ya Philps kama unaenda Usa river kutokea mjini nimekutana na mabasi yakiongozwa na Landcruiser nyeupe zina bendera nyekundu.

Kwa sababu mimi ni mgeni nimeogopa sana. Nimezoea kukaa kijijini huku napiga zangu chaki.

Sijazoea kuona haya mambo zaidi ya kuyaona kwenye Tv huko Goma ya DRC

Kwa kweli nimeshangaa sana.
hatuana jeshi sasa hivi zaidi ya watu waliovaa nguo za mabaka
 
Back
Top Bottom