Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Movement za wanajeshi ni kitu cha kawaida hasa kwa sehemu kama Arusha. Wametoka/wanakwenda kwenye mazoezi au shughuli yoyote etcNimeenda Chuga kumsalimia jamaa yangu. Nilipofika maeneo ya Philps kama unaenda Usa river kutokea mjini nimekutana na mabasi yakiongozwa na Landcruiser nyeupe zina bendera nyekundu.
Kwa sababu mimi ni mgeni nimeogopa sana. Nimezoea kukaa kijijini huku napiga zangu chaki.
Sijazoea kuona haya mambo zaidi ya kuyaona kwenye Tv huko Goma ya DRC
Kwa kweli nimeshangaa sana.
Mimi nimetokea bushMovement za wanajeshi ni kitu cha kawaida hasa kwa sehemu kama Arusha. Wametoka/wanakwenda kwenye mazoezi au shughuli yoyote etc
Tupiako kapicha basi sisi kina Thomaso tukuamini. Chuga hatupendi umbea kama umbea ndo umekuleta faster geuza rudi zako huko Dar na Pwani.Nimeenda Chuga kumsalimia jamaa yangu. Nilipofika maeneo ya Philps kama unaenda Usa river kutokea mjini nimekutana na mabasi yakiongozwa na Landcruiser nyeupe zina bendera nyekundu.
Kwa sababu mimi ni mgeni nimeogopa sana. Nimezoea kukaa kijijini huku napiga zangu chaki.
Sijazoea kuona haya mambo zaidi ya kuyaona kwenye Tv huko Goma ya DRC
Kwa kweli nimeshangaa sana.
Tupia kapicha pendwa kusindikiza huu uzi wa kiwaki.Tupiako kapicha basi sisi kina Thomaso tukuamini. Chuga hatupendi umbea kama umbea ndo umekuleta faster geuza rudi zako huko Dar na Pwani.
adriz de mbusii
Hahahahahaaaaa una lolote wewe umefuata umbea Chuga na wakati chuga hatupendi na hatutaki umbea. Haya faster geuza urudi zako huko pwani na kupa masaa mawili sasa ole wako uendelee kuanika makalio yako chuga.We mburukenge kaa kimya.
Tupo kwenye mazoezi ya kawaida. Ondoa hofu.Nimeenda Chuga kumsalimia jamaa yangu. Nilipofika maeneo ya Philps kama unaenda Usa river kutokea mjini nimekutana na mabasi yakiongozwa na Landcruiser nyeupe zina bendera nyekundu.
Kwa sababu mimi ni mgeni nimeogopa sana. Nimezoea kukaa kijijini huku napiga zangu chaki.
Sijazoea kuona haya mambo zaidi ya kuyaona kwenye Tv huko Goma ya DRC
Kwa kweli nimeshangaa sana.
Nimekuambia kaa kimya. Magari ya jeshi yanapita hapa Makumira.Hahahahahaaaaa una lolote wewe umefuata umbea Chuga na wakati chuga hatupendi na hatutaki umbea. Haya faster geuza urudi zako huko pwani na kupa masaa mawili sasa ole wako uendelee kuanika makalio yako chuga.
Tupia kapicha pendwa kusindikiza huu uzi wa kiwaki.
Who cares kama wewe umetoka bush?Mimi nimetokea bush
Hili ndilo gari la kijeshi?