Kuna nini Arusha? Nimeona msururu wa Magari ya kijeshi mengine yakiwa na bendera nyekundu mama vile Goma

Hao ni rafiki wa kweli sana,wape hi!,ni zaidi ya ndugu zako!😀😀😀
 
Sema huyu mkuu wa kaya akili ndio kitu kakosa.Kwamba anawaza kuna raia wataingia road hiyo tarehe saba.Kweli TISS ilikuwa zamani au yote tulikuwa tunapangwa.Hamna kitu lakini ona anavyo chezewa akili.Tanzania kwisha habari yake
 
Cdf
 
Hadi wakati huu waandamanaji tayari wameshachukua point 3 za ushindi maana serikali na viongozi wake wameshapaniki
ujumbe wa wandamanaji ushafika kwa walengwa hata kama hawatoandamana siku hiyo
 
Hadi wakati huu waandamanaji tayari wameshachukua point 3 za ushindi maana serikali na viongozi wake wameshapaniki
ujumbe wa wandamanaji ushafika kwa walengwa hata kama hawatoandamana siku hiyo
Ni kweli kabisa kwa sababu hii nchi ina viongozi wapumbavu toka dunia kuwepo.Hivi unawaza vipi kwamba kutakuwa na maandamano hiyo tarehe wakati hakuna kiongozi anayejulikana wa maandamano,theme ya maandamano haiko wazi zaidi ya maneno ya watu tu baadhi.Leo hii unaweka wanajeshi mtaani kwamba kutisha watu(Upambavu huu.Hii nchi viongozi na washauri wa viongozi wote akili zenu finyu)

Wakasome Agrarian revolution kabla ya industrial revolution in Europe waone ni kivipi hili jambo halipo.******* nyie viongozi mnatumia pesa za wananchi bure kufanya vitu vya hovyo.Muda wenu unakaribia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…