Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Hiki alichokifanya Cherry hakikubaliki. Angekuwa ni daktari angeshafutiwa leseni. Kimsingi ugonjwa wa mtu ni siri yake, hata daktari huruhusiwi kwa namna yoyote ile kuutangaza (except under Tarasoff I doctrine of Duty to Warn and Tarasoff II doctrine of Duty to Protect)Nimeona mwanaharakati Cherry Hollister amechapisha ujumbe mzito unaomlenga Dotto Magari, ambapo ametoa madai mbalimbali dhidi yake. Miongoni mwa madai hayo, ni kuwa Dotto anaishi na virusi vya UKIMWI na pia anaambukiza mabinti wa watu makusudi.
Beef hii ilianzia wapi? Nani alianza? Kuna tukio gani lililosababisha kufikia hatua ya kutoleana madai mazito hadharani?
Cherry Hollister ni mwanaharakati ambaye anaishi na VVU zaidi ya miaka 16 ,huyo ni mmoja wa watu ambao wanashiriki makongamano ya ukimwi na pia anajuana na madaktari wengi inawezekana pia alipenyezewa za chini na madaktari au walishawahi kukutana na dotto kwenye chimbo la kuchukua ARV na ndiyo maana ana uhakika kwamba Dotto magari anaishi na VVU.
View attachment 3636896
Cherry Hollister
View attachment 3636903
Gridi haiangalii mtu usoni, inachapa tuMkuu lazima uchague hapo kati ya hivyo ili uwe salama otherwise GRIDI YA TAIFA aka KAZEZE inakuhusu.
🤣🤣🤣🤣 Noma sana!Ila wazes ukipata umeme ukweli mfumo wote wa maisha yako yanabadilika Mamaae ...Umems uheshimiwe.
Kabla ya kuupata unapewa vitisho hatari na ukiupata tena unaanza kupewa matumaini makubwa zaidi #respect grid.Ila wazes ukipata umeme ukweli mfumo wote wa maisha yako yanabadilika Mamaae ...Umems uheshimiwe.
Nimeona mwanaharakati Cherry Hollister amechapisha ujumbe mzito unaomlenga Dotto Magari, ambapo ametoa madai mbalimbali dhidi yake. Miongoni mwa madai hayo, ni kuwa Dotto anaishi na virusi vya UKIMWI na pia anaambukiza mabinti wa watu makusudi.
Beef hii ilianzia wapi? Nani alianza? Kuna tukio gani lililosababisha kufikia hatua ya kutoleana madai mazito hadharani?
Cherry Hollister ni mwanaharakati ambaye anaishi na VVU zaidi ya miaka 16 ,huyo ni mmoja wa watu ambao wanashiriki makongamano ya ukimwi na pia anajuana na madaktari wengi inawezekana pia alipenyezewa za chini na madaktari au walishawahi kukutana na dotto kwenye chimbo la kuchukua ARV na ndiyo maana ana uhakika kwamba Dotto magari anaishi na VVU.
View attachment 3636896
Cherry Hollister
View attachment 3636903
banza stone hakufa ghaflaNina marafiki zangu ambao ni Madaktari wa Tiba za Binadamu, nikikaa nao kwenye viti virefu wananiambiaga mastaa wengi wa Bongo wameathirika kama hao wawili wakubwa wanazomiliki radio nchini, pamoja na yule muuza nguo maarufu ambaye kwa sasa anafanya na betting, pamoja na madawa, nk
Ukweli ni Kwamba Hawa mastaa wanaishi na ngwengwe na wanausambaza makusudi kwa wadada wanaowashobokea
Nilisikia TEETH huwa Wana namna ya kuwashughulikia watu wanaousambaza kwa makusudi kwa kuwaua kimya kimya bila hata watu kuhisi chochote au kutambua lolote kama enzi za wale wanenguaji kina Aisha, Diana, Lilian, n.k. na yule Banza JIWE, etc
Bongo ukibainika umeathirika na unausambaza, basi wewe jua tayari TEETH watakufuatilia hadi wakupate hadi wakuone kweli Kwamba una usambaza mwishowe lazima wakumalize kwa kukuwekea sumu ya kukumaliza kimya kimya
Hiki alichokifanya Cherry hakikubaliki. Angekuwa ni daktari angeshafutiwa leseni. Kimsingi ugonjwa wa mtu ni siri yake, hata daktari huruhusiwi kwa namna yoyote ile kuutangaza.
Kama tutaiendekeza tabia ya kuwatangaza wanaoishi na VVU wanaotumia dawa, sasa hivi waathirika wataacha kwenda CTC. Matokeo yake wataacha dawa na kuanza kuambukiza wenzao. Tunapowapa dawa wenye VVU, sio tu tunawasaidia wasipate UKIMWI, lakini pia tunazuia wasiwaambukize wengine.
Mwisho huu ugonjwa unaweza kumpata yoyote. Kwa sie tunaoshinda hospitali tuna mengi ya kuwaeleza lakini moja ni kuwa huu ugonjwa waweza mpata yoyote. Maadam unaishi, usinyanyapae watu.
Aliumwa ugonjwa gani tuambie???banza stone hakufa ghafla
aliumwa mda sanaa
mkilewa mnadanganyana sana
Story za vijiweni kabisa,eti Diamond na Alikiba wameungua😆banza stone hakufa ghafla
aliumwa mda sanaa
mkilewa mnadanganyana sana
Hii nchi imejaa ujinga mwingi sanaHiki alichokifanya Cherry hakikubaliki. Angekuwa ni daktari angeshafutiwa leseni. Kimsingi ugonjwa wa mtu ni siri yake, hata daktari huruhusiwi kwa namna yoyote ile kuutangaza.
Kama tutaiendekeza tabia ya kuwatangaza wanaoishi na VVU wanaotumia dawa, sasa hivi waathirika wataacha kwenda CTC. Matokeo yake wataacha dawa na kuanza kuambukiza wenzao. Tunapowapa dawa wenye VVU, sio tu tunawasaidia wasipate UKIMWI, lakini pia tunazuia wasiwaambukize wengine.
Mwisho huu ugonjwa unaweza kumpata yoyote. Kwa sie tunaoshinda hospitali tuna mengi ya kuwaeleza lakini moja ni kuwa huu ugonjwa waweza mpata yoyote. Maadam unaishi, usinyanyapae watu.
Acha stori za vijiweni weweNina marafiki zangu ambao ni Madaktari wa Tiba za Binadamu, nikikaa nao kwenye viti virefu wananiambiaga mastaa wengi wa Bongo wameathirika kama hao wawili wakubwa wanazomiliki radio nchini, pamoja na yule muuza nguo maarufu ambaye kwa sasa anafanya na betting, pamoja na madawa, nk
Ukweli ni Kwamba Hawa mastaa wanaishi na ngwengwe na wanausambaza makusudi kwa wadada wanaowashobokea
Nilisikia TEETH huwa Wana namna ya kuwashughulikia watu wanaousambaza kwa makusudi kwa kuwaua kimya kimya bila hata watu kuhisi chochote au kutambua lolote kama enzi za wale wanenguaji kina Aisha, Diana, Lilian, n.k. na yule Banza JIWE, etc
Bongo ukibainika umeathirika na unausambaza, basi wewe jua tayari TEETH watakufuatilia hadi wakupate hadi wakuone kweli Kwamba una usambaza mwishowe lazima wakumalize kwa kukuwekea sumu ya kukumaliza kimya kimya
Ulikuwepo???Acha stori za vijiweni wewe
Umeongea point kubwa sana ila kwa dotto kayataka yeye sababu yeye ndie alieanzisha attack, so kwenye hii kesi point yako haikubalikiHiki alichokifanya Cherry hakikubaliki. Angekuwa ni daktari angeshafutiwa leseni. Kimsingi ugonjwa wa mtu ni siri yake, hata daktari huruhusiwi kwa namna yoyote ile kuutangaza.