Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Usiri wa taarifa za mgonjwa hauna excuse wala exception. Vyovyote vile iwavyo lazima ulindwe kwa nguvu zote. Tunampenda Cherry, hata mm nakubali kazi zake, ila kwenye hili dada yetu kateleza.Umeongea point kubwa sana ila kwa dotto kayataka yeye sababu yeye ndie alieanzisha attack, so kwenye hii kesi point yako haikubaliki
Ephrahimu kibondee R.I.PBrother Daktari, TEETH wao ni wambeya tu hawana habari wakishajua umeathirika Wana kutangaza Kila sehemu unayoenda.
Nina jamaa yangu Kila anapoenda meseji lazima ziingie ukizisoma unakuta ikimtangaza ana UKIMWI ndiyo kama Yale ya mtangazaji maarufu wa Mawingu radio mnyakyusa Fulani hivi mcheshi ambaye kwa Sasa ni Marehemu Kila alipokuwa anaenda katika shughuli zake za MC, lazima meseji ya TEETH iingie kumtangaza Kwamba anaishi na VVU
Mkuu umeongea jambo kubwa sana ,nimeanzisha hii thread lengo ni kuwa alert watu na si kwamba kuleta "Mambo ya Ubuyu" .mtaji wa kwanza wa binaadam ni Afya ,afya ikiteteleka hakuna maendeleo.Nina marafiki zangu ambao ni Madaktari wa Tiba za Binadamu, nikikaa nao kwenye viti virefu wananiambiaga mastaa wengi wa Bongo wameathirika kama hao wawili wakubwa wanazomiliki radio nchini, pamoja na yule muuza nguo maarufu ambaye kwa sasa anafanya na betting, pamoja na madawa, nk
Ukweli ni Kwamba Hawa mastaa wanaishi na ngwengwe na wanausambaza makusudi kwa wadada wanaowashobokea
Nilisikia TEETH huwa Wana namna ya kuwashughulikia watu wanaousambaza kwa makusudi kwa kuwaua kimya kimya bila hata watu kuhisi chochote au kutambua lolote kama enzi za wale wanenguaji kina Aisha, Diana, Lilian, n.k. na yule Banza JIWE, etc
Bongo ukibainika umeathirika na unausambaza, basi wewe jua tayari TEETH watakufuatilia hadi wakupate hadi wakuone kweli Kwamba una usambaza mwishowe lazima wakumalize kwa kukuwekea sumu ya kukumaliza kimya kimya
Noma sana , gridi inachapa kwenda mbele ,ukitaka kujua mziki kama una rafiki ni daktari muulize kirafiki tu atakwambia ,hali mbaya ,vibinti vidogo VIMEWAKA.Gridi haiangalii mtu usoni, inachapa tu
hivi kusambaza makusudi huu ugonjwa sio kosaHiki alichokifanya Cherry hakikubaliki. Angekuwa ni daktari angeshafutiwa leseni. Kimsingi ugonjwa wa mtu ni siri yake, hata daktari huruhusiwi kwa namna yoyote ile kuutangaza.
Kama tutaiendekeza tabia ya kuwatangaza wanaoishi na VVU wanaotumia dawa, sasa hivi waathirika wataacha kwenda CTC. Matokeo yake wataacha dawa na kuanza kuambukiza wenzao. Tunapowapa dawa wenye VVU, sio tu tunawasaidia wasipate UKIMWI, lakini pia tunazuia wasiwaambukize wengine.
Mwisho huu ugonjwa unaweza kumpata yoyote. Kwa sie tunaoshinda hospitali tuna mengi ya kuwaeleza lakini moja ni kuwa huu ugonjwa waweza mpata yoyote. Maadam unaishi, usinyanyapae watu.
Ni kweli hata yeye Cherry alisema na kumpa warning kwamba Dotto aache kumsema na kumchokoza maana akija kuvungua VAULT mji UTATINGISHIKA ,hakupenda kumuweka wazi ila Dotto Mwenye alimTRIGGER.Hiki alichokifanya Cherry hakikubaliki. Angekuwa ni daktari angeshafutiwa leseni. Kimsingi ugonjwa wa mtu ni siri yake, hata daktari huruhusiwi kwa namna yoyote ile kuutangaza.
Kama tutaiendekeza tabia ya kuwatangaza wanaoishi na VVU wanaotumia dawa, sasa hivi waathirika wataacha kwenda CTC. Matokeo yake wataacha dawa na kuanza kuambukiza wenzao. Tunapowapa dawa wenye VVU, sio tu tunawasaidia wasipate UKIMWI, lakini pia tunazuia wasiwaambukize wengine.
Mwisho huu ugonjwa unaweza kumpata yoyote. Kwa sie tunaoshinda hospitali tuna mengi ya kuwaeleza lakini moja ni kuwa huu ugonjwa waweza mpata yoyote. Maadam unaishi, usinyanyapae watu.
wakati tetesi za huyu jamaa zinasambaa kwamba anabugia mbaaziEphrahimu kibondee R.I.P
Noma Sana na Watu mtaani wamejisahau kabisa, ngwengwe uNoma sana , gridi inachapa kwenda mbele ,ukitaka kujua mziki kama una rafiki ni daktari muulize kirafiki tu atakwambia ,hali mbaya ,vibinti vidogo VIMEWAKA.
Madada hao wakali unaowaona wameiva wapo warito kumbe ni KAZEZE ni KAZEZE ni KAZEZE.
Siyo issue kama haujaupata ,Msikilize Cherry mwenyewe anavyosema ,hakuna ugonjwa mdogo ,ugonjwa ni ugonjwa ,kuna watu wanakwambia bora ukimwi kuliko cancer au kisukari ,kuna watu wamepona cancer na kisukari.ukimwi nowadays hata siyo ishu.
Kisukari na cancer wala hufi kwa Hofu na majutoSiyo issue kama haujaupata ,Msikilize Cherry mwenyewe anavyosema ,hakuna ugonjwa mdogo ,ugonjwa ni ugonjwa ,kuna watu wanakwambia bora ukimwi kuliko cancer au kisukari ,kuna watu wamepona cancer na kisukari.
Tatizo la Ukimwi ni kwamba umekaa pabaya na unaambukiza sana ,tofauti na cancer/kisukari(NCD) na ndiyo maana unatiliwa sana msisitizo.
58 hajafika ,yupo around 47-49.Ila dotto anadai ana miaka 45 kumbe 58? Analingana tu na babu yake adriz de mbusii
Umewajuaje wabangubangu kabila la ndaniii kabisa kama na wewe sio mtu wa hukoHuyu mbangubangu katua wapi jina la hollister
hata wazungu wenyewe wanajichaguliaga majina kutokana na anakotoka,
Inasikitisha sana ,Cherry anakwambia wenye NGWENGWE katibu 90% wanapenda na wengine wapate wasiwe peke yao na ndiyo maana wanasambaza sana hovyo ,wachache sana kama yeye ambao hawataki wengine wapate.Noma Sana na Watu mtaani wamejisahau kabisa, ngwengwe u
Inatembea watu hawana habari, na hizi Porno wanazoangalia Bus wakimaliza wanauvaa umeme Grid 220-230KV 50/60Hz
UmejuajeNi kweli
Alionywa na Cherry mapema ila akajaa kwenye mfumo ,akapigwa SHOTI.Kujitoa ufahamu mtandaoni kunafanya mtu unacost familia yako nzima.
Hapo sasa mkewe kila anapopita wanawake watabinyana kua kaathirika.
Kila ukoo kuna mgonjwa, hivyo atuchekaniAlionywa na Cherry mapema ila akajaa kwenye mfumo ,akapigwa SHOTI.
Hizo data nazitoa wapiInasikitisha sana ,Cherry anakwambia wenye NGWENGWE katibu 90% wanapenda na wengine wapate wasiwe peke yao na ndiyo maana wanasambaza sana hovyo ,wachache sana kama yeye ambao hawataki wengine wapate.
Idadi ya wenye ngwengwe waliopimwa ni milioni 8 ila aambao hawajapimwa ni wengi.