George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Inawezekana...Ohh nilijua laporte ni Spain
But huyo5kocha wana bifu na pep it May be the reason
Naamini hiki ndio kisingizio cha Deschamps..!Maswala ya ki technic zaid
Na hayo mafanikio ya kombe la dunia ndio yanazidi kumpa kiburi..!Atasingizia technics ila kwangu ndio yale ya kumuacha Lacazette na kumbeba Giroud bahat nzuri kwake France walibeba ndoo!! Kiukweli hata iweje Giroud hawez kuwa zaid ya Lacazette.. Ndio haya ya Laporte
Ahahaaah...Tunahitaji walinzi wa kati wenye ngozi nyeusi
Duuuh...Sio jambo geni katika soka.
Dunia ya soka iliwahi kumshuhudia Eric Cantona akiwa wa moto kabisa pale Man Utd lakini timu ya taifa ya Ufaransa alikuwa haitwi.
Gianfranco Zola akiwa mungu mtu pale Chelsea kiasi cha kwamba jezi yake namba 25 kustaafishwa isitumike tena Chelsea, timu ya taifa ya Italy (Azzuri) alikuwa anaisikia kwenye bomba.
Zola mara ya kwanza nilimuona euro96.akiichezea italia.Sio jambo geni katika soka.
Dunia ya soka iliwahi kumshuhudia Eric Cantona akiwa wa moto kabisa pale Man Utd lakini timu ya taifa ya Ufaransa alikuwa haitwi.
Gianfranco Zola akiwa mungu mtu pale Chelsea kiasi cha kwamba jezi yake namba 25 kustaafishwa isitumike tena Chelsea, timu ya taifa ya Italy (Azzuri) alikuwa anaisikia kwenye bomba.
Huwa namshangaa huyu boss.Atasingizia technics ila kwangu ndio yale ya kumuacha Lacazette na kumbeba Giroud bahat nzuri kwake France walibeba ndoo!! Kiukweli hata iweje Giroud hawez kuwa zaid ya Lacazette.. Ndio haya ya Laporte
KaitwaHata Lingret wa Barcelona hajaitwa
Eti jamani Lachazete kaachwa si utani huuNimeshangaa lacazette kuachwa na giroud kuitwa
Sio official ila ni kama imestaafishwa, toka alivyoondoka mwaka 2003, jezi yake haikuwahi kutumika na mtu mwingine tena.Duuuh...
Noma sana..!
Kumbe Chelsea wameistaafisha jezi ya Zola..!?
Nilikuwa silijui hili aisee..!