Kuna nini kati ya Deschamps na Laporte!?

George Betram

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
4,672
Reaction score
6,272
Msimu huu Laporte ni beki pekee kutoka timu tofauti na Liverpool ambaye ametengeneza safu ya mabeki katika kikosi bora cha msimu cha EPL..!

Kama unaifuatilia ligi ya Uingereza na umewahi kuangalia mechi za Man City ni lazima utakubali kuwa Laporte ni bonge la beki..!

Lakini kitu cha ajabu Didier Deschamps amekuwa akimuacha jamaa kila anapotaja kikosi cha timu ya taifa..!

This time nilitegemea ni lazima atamuita,lakini amemuacha tena..!

Hivi ni Kweli wakina Zouma na Sakho ni bora kuliko Laporte..!?

Au mafanikio ya kombe la dunia ndio yanampa kiburi huyu kocha..!?

Jinga sana Didier Deschamps..!!!
 
Nimeamua kuja kutolea povu langu huku..!
Ahahaaaah..!
 
Sio jambo geni katika soka.

Dunia ya soka iliwahi kumshuhudia Eric Cantona akiwa wa moto kabisa pale Man Utd lakini timu ya taifa ya Ufaransa alikuwa haitwi.

Gianfranco Zola akiwa mungu mtu pale Chelsea kiasi cha kwamba jezi yake namba 25 kustaafishwa isitumike tena Chelsea, timu ya taifa ya Italy (Azzuri) alikuwa anaisikia kwenye bomba.
 
Atasingizia technics ila kwangu ndio yale ya kumuacha Lacazette na kumbeba Giroud bahat nzuri kwake France walibeba ndoo!! Kiukweli hata iweje Giroud hawez kuwa zaid ya Lacazette.. Ndio haya ya Laporte
Na hayo mafanikio ya kombe la dunia ndio yanazidi kumpa kiburi..!
 
Sio jambo geni katika soka.

Dunia ya soka iliwahi kumshuhudia Eric Cantona akiwa wa moto kabisa pale Man Utd lakini timu ya taifa ya Ufaransa alikuwa haitwi.

Gianfranco Zola akiwa mungu mtu pale Chelsea kiasi cha kwamba jezi yake namba 25 kustaafishwa isitumike tena Chelsea, timu ya taifa ya Italy (Azzuri) alikuwa anaisikia kwenye bomba.
Duuuh...
Noma sana..!
Kumbe Chelsea wameistaafisha jezi ya Zola..!?
Nilikuwa silijui hili aisee..!
 
Zola mara ya kwanza nilimuona euro96.akiichezea italia.
 
Atasingizia technics ila kwangu ndio yale ya kumuacha Lacazette na kumbeba Giroud bahat nzuri kwake France walibeba ndoo!! Kiukweli hata iweje Giroud hawez kuwa zaid ya Lacazette.. Ndio haya ya Laporte
Huwa namshangaa huyu boss.
 
Duuuh...
Noma sana..!
Kumbe Chelsea wameistaafisha jezi ya Zola..!?
Nilikuwa silijui hili aisee..!
Sio official ila ni kama imestaafishwa, toka alivyoondoka mwaka 2003, jezi yake haikuwahi kutumika na mtu mwingine tena.

Zola ni shujaa wa Chelsea ile kabla ya kununuliwa na Roman.
 
Back
Top Bottom