George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Msimu huu Laporte ni beki pekee kutoka timu tofauti na Liverpool ambaye ametengeneza safu ya mabeki katika kikosi bora cha msimu cha EPL..!
Kama unaifuatilia ligi ya Uingereza na umewahi kuangalia mechi za Man City ni lazima utakubali kuwa Laporte ni bonge la beki..!
Lakini kitu cha ajabu Didier Deschamps amekuwa akimuacha jamaa kila anapotaja kikosi cha timu ya taifa..!
This time nilitegemea ni lazima atamuita,lakini amemuacha tena..!
Hivi ni Kweli wakina Zouma na Sakho ni bora kuliko Laporte..!?
Au mafanikio ya kombe la dunia ndio yanampa kiburi huyu kocha..!?
Jinga sana Didier Deschamps..!!!